..bwana mkubwa anapenda kusimamia kila jambo nchi hii isipokuwa janga la covid19.
..haiwezekani amiri jeshi mkuu akimbie na kujificha wakati nchi inakabiliwa na hatari kubwa kiasi hiki.
Tulisema toka aingie madarakani 'it was a big mistake' kumpa nchi
Shida anasikiliza wa kusifu na kuabudu
Tz ni ya WaTz lakini....
Anaongoza nchi kama mali ya mtu
Amekanyaga ganda la ndizi kwenye tiles/floor anasubiri filimbi
Amefeli miserably kurepair will take ages
Mzee wa msoga sijui atawaambia nini WaTz
Kuna watu wanamlisha matango pori kwa matakwa yao, wew ona akina kabudi wanadiriki kusema wameokotwa majalalani huku graduate ambaye ni fresh kabisa akila mihogo na maji mtaani!
Maendeleo ya taifa lolote ni pamoja na vitu na watu ( simultaneously dealing).
Rudisha pesa katikati mabenki ya biashara achana na hii sera ya kijamaa ya serikali kushikiria pesa kupitia benk kuu, hii inaleta unumaskini na kua sector binafsi.
Katika yote wakumbuke vijana kuwa nao wanahitaji kuajiriwa Kama nyie ambavyo kizazi Cha kwanza mnavyo faidi keki ya taifa.
Amiri jeshi mkuu watu wa kusifia kila Jambo waogope sana, wengine hufanya hivyo ili kutimiza matakwa yao binafsi.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
Saa hizi hata magonjwa mengine yamedharaulika.Hakuna kipindi vijana waliomaliza vyuo wamedharaulika kama hiki.
Narudia tena tangu inji hii ipate uhuru kutoka kwa bwana wake Muingereza hiki ndio kipindi graduates wanaonekana si lolote si chochote.
Umesema vema. Watu waanaosifia kila jambo hata baya ni wanafiki na hawafai kwa kuwa ni wabinafsi na wasiojali maslahi ya umma wala kesho ya taifa.
Tejenge mfumo shirikishi, wenye uwazi, uzalendo, upendo na uwajibikaji.
Hakuna kipindi vijana waliomaliza vyuo wamedharaulika kama hiki.
Narudia tena tangu inji hii ipate uhuru kutoka kwa bwana wake Muingereza hiki ndio kipindi graduates wanaonekana si lolote si chochote.
Kuna ofisi ya Rais ambayo ndio Ikulu, na walioijenga sio wajinga; na kuna makazi binafsi ya Rais, ambayo ndio Chato.1) Ulizoea kumwona kwenye misafara ya miradi ya maendeleo ambayo sasa hafanyi kwa kuepuka kutengeneza mikusanyiko na safari zinazoweza kuahirishwa kama njia ya kuduibiti ueneczi wa korona.
2) Yeye ni kiongozi wa nchi. Anaweza kufanya kazi kutokea popote ndani ya Nchi.
3). Nimemsikia akisema na kutoa miongozo juu ya COVID 19.
Kuna jambo limekwama kwa kuwa yuko sehemu aliko?
Naomba utushirikishe kiongozi.
1. Amefeli katika maeneo gani ambayo kuya repair itachukua ages?
2. Unashauri angefanya vipi ili asifeli?
..hivi mama samia yuko wapi?
..hivi mama samia yuko wapi?
Kuna ofisi ya Rais ambayo ndio Ikulu, na walioijenga sio wajinga; na kuna makazi binafsi ya Rais, ambayo ndio Chato.
Yaani unaona jamaa kuwa Chato mwezi mzima ni poa tu, unadhani kwasababu yeye ni Rais ndio ana "immunity" ya kukimbia ofisi? yule nae ni mtumishi wa umma, anatakiwa kuwa ofisini.
Usilete habari zako za kufanya kazi popote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mwanzo mzuri wa dikiteitaMh Rais nisikufiche Mzee wangu waite watu wasio wanafiki kama akina na nii waombe wakupe feedback ya utendaji wako. Kiukweli mwanzoni ulivyo pewa nchi watanzania tulifurahi sana utendaji wako ila baadae nahisi kunajambo lilitokea ukawa umebadilika mpaka leo.
Mimi nionavyo umesahau watanzania ni wanafiki na pia tunapenda nyenyekewa ukatupa vitu na sio utu ambao baba wataifa ndio aliacha kama tunu zetu leo hali sio kama ile. Tanzania ninchi ya ajabu sana mkuu unaenda kwa kijiji unawapa wali maharage na soda unaondoka anakuja mwingine anatoa msaada wa jengo la hosp anaondoka ila mkirudi kesho kuomba kura au ardhi yule alie toa maharage na wali ndio mtu wewe wamajengo hawakutambui.
Ktk hali kama hiyo Mkuu lazima ujuwe kula na vipofu. Umenunua madege na Ujenz wa madaraja na kujenga dams kule rufiji ila amini usiamini wajukuu watakuja soma historia tena wengi wakilaumu kuwa masikini.
Watanzania wanapenda wakilalamika au kulia wabembelezwe wewe hutaki vilio unategemea kweli utagusa mioyo yao? Wewe ndio amiri jeshi mkuu wa majeshi yote Tz ila Mh Rais sio kila wazo au matakwa ya wananchi unapangiwa Big no. Wakati mwingine cheza na upepo usije ukapunguza umaarufu. Wewe hupangiwi ndio ila hivyo hivyo nawao watakujibu hawapigi kura au wanakususia wewe siupangiwi.
Mimi naomba rudi kwenye mstari nchi hii nikubwa sana kaa na watu wako sikilizaneni.. Acha hii mambo kusema hupangiwi while unao waambia kesho unaitaji kura zao. Tafakar korosho MTWARA maamuz yalitekelezwa ila je serikali mligusa mioyo ya watu au lawama?
Pia Mh Rais wakati mwingine sio kila jambo utoe comment au usimamie je utafanya mangapi? Asante