Tall Guy fam
JF-Expert Member
- Jan 16, 2017
- 917
- 1,093
Hadi wewe mkuu?Mh Rais nisikufiche Mzee wangu waite watu wasio wanafiki kama akina na nii waombe wakupe feedback ya utendaji wako. Kiukweli mwanzoni ulivyo pewa nchi watanzania tulifurahi sana utendaji wako ila baadae nahisi kunajambo lilitokea ukawa umebadilika mpaka leo.
Mimi nionavyo umesahau watanzania ni wanafiki na pia tunapenda nyenyekewa ukatupa vitu na sio utu ambao baba wataifa ndio aliacha kama tunu zetu leo hali sio kama ile. Tanzania ninchi ya ajabu sana mkuu unaenda kwa kijiji unawapa wali maharage na soda unaondoka anakuja mwingine anatoa msaada wa jengo la hosp anaondoka ila mkirudi kesho kuomba kura au ardhi yule alie toa maharage na wali ndio mtu wewe wamajengo hawakutambui.
Ktk hali kama hiyo Mkuu lazima ujuwe kula na vipofu. Umenunua madege na Ujenz wa madaraja na kujenga dams kule rufiji ila amini usiamini wajukuu watakuja soma historia tena wengi wakilaumu kuwa masikini.
Watanzania wanapenda wakilalamika au kulia wabembelezwe wewe hutaki vilio unategemea kweli utagusa mioyo yao? Wewe ndio amiri jeshi mkuu wa majeshi yote Tz ila Mh Rais sio kila wazo au matakwa ya wananchi unapangiwa Big no. Wakati mwingine cheza na upepo usije ukapunguza umaarufu. Wewe hupangiwi ndio ila hivyo hivyo nawao watakujibu hawapigi kura au wanakususia wewe siupangiwi.
Mimi naomba rudi kwenye mstari nchi hii nikubwa sana kaa na watu wako sikilizaneni.. Acha hii mambo kusema hupangiwi while unao waambia kesho unaitaji kura zao. Tafakar korosho MTWARA maamuz yalitekelezwa ila je serikali mligusa mioyo ya watu au lawama?
Pia Mh Rais wakati mwingine sio kila jambo utoe comment au usimamie je utafanya mangapi? Asante
Dah!...noma sana hii awamu.Hakuna kipindi vijana waliomaliza vyuo wamedharaulika kama hiki.
Narudia tena tangu inji hii ipate uhuru kutoka kwa bwana wake Muingereza hiki ndio kipindi graduates wanaonekana si lolote si chochote.
Tulisema tutaongea lugha mojaHadi wewe mkuu?
Nimejaribu kukaa vijana wengi newly graduates sio wote)... Kwakweli hawako kwenye uhalisia kabisa, wanataka kila kitu lakini hawana drive ya kufanya chochoteHakuna kipindi vijana waliomaliza vyuo wamedharaulika kama hiki.
Narudia tena tangu inji hii ipate uhuru kutoka kwa bwana wake Muingereza hiki ndio kipindi graduates wanaonekana si lolote si chochote.
Mh Rais nisikufiche Mzee wangu waite watu wasio wanafiki kama akina na nii waombe wakupe feedback ya utendaji wako. Kiukweli mwanzoni ulivyo pewa nchi watanzania tulifurahi sana utendaji wako ila baadae nahisi kunajambo lilitokea ukawa umebadilika mpaka leo.
Mimi nionavyo umesahau watanzania ni wanafiki na pia tunapenda nyenyekewa ukatupa vitu na sio utu ambao baba wataifa ndio aliacha kama tunu zetu leo hali sio kama ile. Tanzania ninchi ya ajabu sana mkuu unaenda kwa kijiji unawapa wali maharage na soda unaondoka anakuja mwingine anatoa msaada wa jengo la hosp anaondoka ila mkirudi kesho kuomba kura au ardhi yule alie toa maharage na wali ndio mtu wewe wamajengo hawakutambui.
Ktk hali kama hiyo Mkuu lazima ujuwe kula na vipofu. Umenunua madege na Ujenz wa madaraja na kujenga dams kule rufiji ila amini usiamini wajukuu watakuja soma historia tena wengi wakilaumu kuwa masikini.
Watanzania wanapenda wakilalamika au kulia wabembelezwe wewe hutaki vilio unategemea kweli utagusa mioyo yao? Wewe ndio amiri jeshi mkuu wa majeshi yote Tz ila Mh Rais sio kila wazo au matakwa ya wananchi unapangiwa Big no. Wakati mwingine cheza na upepo usije ukapunguza umaarufu. Wewe hupangiwi ndio ila hivyo hivyo nawao watakujibu hawapigi kura au wanakususia wewe siupangiwi.
Mimi naomba rudi kwenye mstari nchi hii nikubwa sana kaa na watu wako sikilizaneni.. Acha hii mambo kusema hupangiwi while unao waambia kesho unaitaji kura zao. Tafakar korosho MTWARA maamuz yalitekelezwa ila je serikali mligusa mioyo ya watu au lawama?
Pia Mh Rais wakati mwingine sio kila jambo utoe comment au usimamie je utafanya mangapi? Asante
Pamoja na uwepo wa katiba, kiongozi anatakiwa kuwa na busara. Ndiyo maana wenzie walikuwa na katiba hii hii mbaya lakini busara yao binafsi ndiyo iliyowasaidia kiasi cha watu hatakutokuhisi kuwa katiba yetu ni mbaya kwa kiwango hiki.Hivi mnaipitia katiba ya Jamhuri ya Muungano muone Mkuu wa Nchi ana madaraka makubwa kiasi gani?!!!! Yote na mengi anayofanya(iwe yanafurahisha au vinginevyo) nadhani yapo ndani ya mamlaka yake aliyopewa katiba iliyopo. Kama ni kurekebisha basi ni hiyo Katiba
Kwani kajificha au ni mbinu za medani?..bwana mkubwa anapenda kusimamia kila jambo nchi hii isipokuwa janga la covid19.
..haiwezekani amiri jeshi mkuu akimbie na kujificha wakati nchi inakabiliwa na hatari kubwa kiasi hiki.
1) Ulizoea kumwona kwenye misafara ya miradi ya maendeleo ambayo sasa hafanyi kwa kuepuka kutengeneza mikusanyiko na safari zinazoweza kuahirishwa kama njia ya kuduibiti ueneczi wa korona.
2) Yeye ni kiongozi wa nchi. Anaweza kufanya kazi kutokea popote ndani ya Nchi.
3). Nimemsikia akisema na kutoa miongozo juu ya COVID 19.
Kuna jambo limekwama kwa kuwa yuko sehemu aliko?
kweli, nimeamini.Tulisema tutaongea lugha moja
Hivi mnaipitia katiba ya Jamhuri ya Muungano muone Mkuu wa Nchi ana madaraka makubwa kiasi gani?!!!! Yote na mengi anayofanya(iwe yanafurahisha au vinginevyo) nadhani yapo ndani ya mamlaka yake aliyopewa katiba iliyopo. Kama ni kurekebisha basi ni hiyo Katiba
Asipokuwepo kabisa ndio mambo hayatakwama kabisa, kwa sasa mengi tu yanakwama.1) Ulizoea kumwona kwenye misafara ya miradi ya maendeleo ambayo sasa hafanyi kwa kuepuka kutengeneza mikusanyiko na safari zinazoweza kuahirishwa kama njia ya kuduibiti ueneczi wa korona.
2) Yeye ni kiongozi wa nchi. Anaweza kufanya kazi kutokea popote ndani ya Nchi.
3). Nimemsikia akisema na kutoa miongozo juu ya COVID 19.
Kuna jambo limekwama kwa kuwa yuko sehemu aliko?