Jibu hoja kiongozi. Inaonekana ama una preconceptions ambazo huwezi kuziweka bayana au unareact kwa mob psychology kitu ambacho hakiwezi ku impart understanding kwa watu neutral ili kuwa na common understanding. Mtu mwenye akili zake, ili akubali unachokisema anahitaji kuelewa kwanza. Kwa heri.
Well said mkuu, but it’s all depend on a sound and credible constitution ndiyo hayo mambo yanaweza kufanyika. Ile jiwe tulilokuwa nalo ni jiwe la ajabu sana, kila siku linapayukapayuka na kujimwambafai kama jiwe la wanyonge wakati ukweli ni kwamba matatizo hao wanyonge ingawa pia kuwaita wanyonge ni udhalilishaji tu....matatizo yao hata siku moja haitatokea yakatatuliwa na utashi wake binafsi zaidi ya Katiba nzuri!
Huwa nalikumbuka sana Jembe langu Tundu Lisu, nanukuu “ Tanzania haijawahi pata Rais wa ajabu kama huyu wa awamu ya tano”, mwisho wa kunukuu!