Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Sidhani kama ni kweli, huenda JPM anadanganywa.Kuhusu haki, hilo sahau! Na usikute akiwa nje anajifanya kulalamika, huku akiwa faragha na hao maofisa akiwapongeza na kuwajaza zaidi upepo ili Standard gauge, Stiglers Gorge, Mambosasa interchanges zikamilike haraka.
Ndio, maana tumewapa dhamana ya kuunda serikali. Wanatakiwa watende haki.Mkuu ulitegemea hawa watu wafanye tofauti na wanayoyafanya?
Haaaa basi tuendelee kuwakumbushaNdio, maana tumewapa dhamana ya kuunda serikali. Wanatakiwa watende haki.
Watch your mouth.Tulipopiga kelele kuhusu Wafanyabiashara kuonewa kwa kubambikiwa kodi kubwa mlikuja na slogan yenu; "hao ni wakwepa kodi". Leo bwana yenu kakemea na nyie mnajifanya watetezi wa Wafanyabiashara. Aibu yenu.
Hakuna usanii kwenye haki za watanzaniaJiwe ni Msanii
Unaleta story gani? Fafanua na ushahidi wa kutoshaMlipoambiwa haya kabla mliona watu niwakwepa Kodi, haya saiz yamegusa mfupa wako ushatoa boko. Tulia kazi iendelee tuheshimiane
Out of topicJuma ni muhuni kaka jambazi Kaiba Tl 1.5 kajenga kwao chattel
Wewe ukiona mwenye mamlaka yake analalamika ujue ni maigizo .We Kinyungu unacheka nini? Haki za watanzania zinakandamizwa.
Jaduong, Mwl Nyerere alitawala tofauti na hii Katibq? Je, kama alijua kuna uonevu angeruhusu ufanyike? Kisa katiba hairuhusu kutetea?Wewe ukiona mwenye mamlaka yake analalamika ujue ni maigizo .
Hili ni tatizo la kurundika mamlaka yote kwa mtu moja . Nitamkumbuka sana Mr Obama . Alitamka hivi huko Adis Ababa "AFRICA HAIHITAJI KIONGOZI IMARA, BALI AFRICA INAHITAJI TAASISI IMARA" Kiongozi wetu aweza kuwa muungwana , lakini nchi hii ni kubwa kwa mtu kuona matatizo ya kila idara na kuyatolea maamuzi . TAASISI zetu zilitakiwa kufanya kazi kwa ueledi bila kusubiri maelekezo ya Rais au ngazi ya juu yake.
Tatizo Mr chagu wa malunde ni katiba ya nchi yetu inayomuumba mungu mwenye kuombwa kila tatizo. Hata la kuwapanga machinga sokoni !!
Mkiambiwa ukweli mnatisha watu, hata tuliposema awali mlitutisha hivi hivi.Watch your mouth.
Ndugu,kweli itatuweka huru.Mkiambiwa ukweli mnatisha watu, hata tuliposema awali mlitutisha hivi hivi.