Tanzania Rais ndo katibaWe Kinyungu unacheka nini? Haki za watanzania zinakandamizwa.
Tanzania Rais ndo katibaWe Kinyungu unacheka nini? Haki za watanzania zinakandamizwa.
Kuna mawili,hujanisoma vizuri au hujawahi kufanya biashara na kwenda TRA kukadiriwa kodi!!Hivi TRA wanaweza kukadilia kodi bila kumbukumbu za mapato? Je kukiwa na consultants units kama unavyodai ndio hakutakuwa na ubambiakji kodi kubwa? Tunatakiwa tuwe na taifa linalosimamia haki.
Mkuu nimekusoma vizuri, Tra huwa wanashauri kila mfanya biashara atumie risiti ili kuweza kutunza taarifa za mapato. Kodi hukadiliwa kulingana na mapato.Kuna mawili,hujanisoma vizuri au hujawahi kufanya biashara na kwenda TRA kukadiriwa kodi!!
Kodi hukadiriwa na kutozwa kutokana na faida.Ikiwa una mapato tu na matumizi ni madogo ina maana faida yako ni kubwa na kodi yako itakuwa kubwa.Wafanayabiashara hasa wadogo na wa kati huweka kumbukumbu za mapato tu lakini matumizi hawaweki na hii hufanya wakadiriwe kodi kubwa kwani inaonyesha faida ni kubwa!!NI KWA UELEWAWANGU!!Mkuu nimekusoma vizuri, Tra huwa wanashauri kila mfanya biashara atumie risiti ili kuweza kutunza taarifa za mapato. Kodi hukadiliwa kulingana na mapato.
Nenda ofisi za Tra zilizokaribu na wewe.Kodi hukadiriwa na kutozwa kutokana na faida.Ikiwa una mapato tu na matumizi ni madogo ina maana faida yako ni kubwa na kodi yako itakuwa kubwa.Wafanayabiashara hasa wadogo na wa kati huweka kumbukumbu za mapato tu lakini matumizi hawaweki na hii hufanya wakadiriwe kodi kubwa kwani inaonyesha faida ni kubwa!!NI KWA UELEWAWANGU!!
Kweli elimu elimu watoe seminar za bure, kwa watu, wawaeleweshe, siyo kuwapiga tu penalty na faini.Kuna jambo moja ambalo watu wengi hawapendi kulizungumzia.Jambo hili ni uwekaji kumbukumbu sahihi za biashara hasa mapato na matumizi.Wafanya biashara wengi (ukiacha wa Ki Asia) hatuweki kumbukumbu hasa za matumizi katika biashara zetu.Mara nyingi tunaweka za mapato na hii inawapa mwanya TRA kukuingiza katika kumi na nane zao.
TRA nao wanatakiwa watenge pesa kiasi katika wanazokusanya na kutoa elimu ya uwekaji wa kumbukumbu za mahesabu kwa wafanyabiashara hasa wadogo na wa kati.
Ukosefu wa ajira uwahamasishe vijana waliosomea uhasibu na ukaguzi wa hesabu kuanzisha consultant units kwa ajili ya kuwaelimisha na kuwasaidia wafanya biashara wadogo kufunga hesabu zao vizuri (Serikali ilisimamie hili na kuwarahisishia uandikishaji-Leo tunashuhudia wakala wa m izani anatembea na mafundi wa mizani,zimamoto wanatembea na kampuni za fire extinguisher-Why not TRA na ctax consultants?
Katiba ni makaratasi tu ayo...Tumekusikia mara kwa mara ukilalamika juu ya wasimamizi wa sheria za nchi kunyanyasa raia wa kawaida.
Leo hii tar 25 Feb 2021 unalalama juu ya watumishi wa TRA kubambikia wanachi kodi na kuleta kilio kikubwa. Hili ni tatizo kubwa sana, wewe kama mkuu wa nchi hukupaswa kuwalilia wanaobambikizwa kodi. Una mamlaka na vyombo vyote vya kukupatia taarifa za ukweli, turitarajia kusikia neno la ukweli hii leo.
Hivi rais wetu jinsi unavyofuatilia mambo, hujui kuwa bado jeshi la polisi halifai? Hujui kuwa wanaoua hawafikishwi mahakamani na wasioua wanaozea rumande?
Mh rais watanzania wanataka mabadiliko makubwa juu ya upatikanaji wa haki za msingi hapa Tanzania. Kwa ujumla masuala ya watu kubambikiwa kodi ni sehemu tu ya tatizo sugu.
Mh Rais, kama kweli wewe ni mpenda haki na hutaki dhuluma, unda tume huru juu ya uvunjivu wa haki za binadamu, miezi miwili ni mingi utapata jibu.
Polisi, ofisi ya DPP zote zimeoza. Watanzania wanaonewa na kuteseka. Hivyo TRA kubambikia watu kodi kubwa ili wapate rushwa ni kama mzaha tu.
Amamlaumu simbachewene ati wastaafu wa polisi hawajalipwa? Kwani ni polisi tu? Alipochezea mifuko ya jamii wanasema ni uzalendo ati Uzalendo hovyoooJiwe ni Msanii
Ahaaa, kijana vipi? Haki za binadamu ni suala linalohusu wazungu?Katiba ni makaratasi tu ayo...
Mambo ya Haki za Binadamu pelekeni kwa Wazungu wanao wapa pesa.
IYOO MAWE KIPI KIMEMKUTA CHAGU WA MALUNDE???
Hivi Rais huwa anamlalamikiaga nani.Tumekusikia mara kwa mara ukilalamika juu ya wasimamizi wa sheria za nchi kunyanyasa raia wa kawaida.
Leo hii tar 25 Feb 2021 unalalama juu ya watumishi wa TRA kubambikia wanachi kodi na kuleta kilio kikubwa. Hili ni tatizo kubwa sana, wewe kama mkuu wa nchi hukupaswa kuwalilia wanaobambikizwa kodi. Una mamlaka na vyombo vyote vya kukupatia taarifa za ukweli, turitarajia kusikia neno la ukweli hii leo.
Hivi rais wetu jinsi unavyofuatilia mambo, hujui kuwa bado jeshi la polisi halifai? Hujui kuwa wanaoua hawafikishwi mahakamani na wasioua wanaozea rumande?
Mh rais watanzania wanataka mabadiliko makubwa juu ya upatikanaji wa haki za msingi hapa Tanzania. Kwa ujumla masuala ya watu kubambikiwa kodi ni sehemu tu ya tatizo sugu.
Mh Rais, kama kweli wewe ni mpenda haki na hutaki dhuluma, unda tume huru juu ya uvunjivu wa haki za binadamu, miezi miwili ni mingi utapata jibu.
Polisi, ofisi ya DPP zote zimeoza. Watanzania wanaonewa na kuteseka. Hivyo TRA kubambikia watu kodi kubwa ili wapate rushwa ni kama mzaha tu.
Hongera kwa hoja nzuri. Tatizo la TRA linaanza na yeye Meko mwenyewe. Ndiye anawatumaTumekusikia mara kwa mara ukilalamika juu ya wasimamizi wa sheria za nchi kunyanyasa raia wa kawaida.
Leo hii tar 25 Feb 2021 unalalama juu ya watumishi wa TRA kubambikia wanachi kodi na kuleta kilio kikubwa. Hili ni tatizo kubwa sana, wewe kama mkuu wa nchi hukupaswa kuwalilia wanaobambikizwa kodi. Una mamlaka na vyombo vyote vya kukupatia taarifa za ukweli, turitarajia kusikia neno la ukweli hii leo.
Hivi rais wetu jinsi unavyofuatilia mambo, hujui kuwa bado jeshi la polisi halifai? Hujui kuwa wanaoua hawafikishwi mahakamani na wasioua wanaozea rumande?
Mh rais watanzania wanataka mabadiliko makubwa juu ya upatikanaji wa haki za msingi hapa Tanzania. Kwa ujumla masuala ya watu kubambikiwa kodi ni sehemu tu ya tatizo sugu.
Mh Rais, kama kweli wewe ni mpenda haki na hutaki dhuluma, unda tume huru juu ya uvunjivu wa haki za binadamu, miezi miwili ni mingi utapata jibu.
Polisi, ofisi ya DPP zote zimeoza. Watanzania wanaonewa na kuteseka. Hivyo TRA kubambikia watu kodi kubwa ili wapate rushwa ni kama mzaha tu.
Ahaaaa, anawatuma kubambikia watu kodi?Hongera kwa hoja nzuri. Tatizo la TRA linaanza na yeye Meko mwenyewe. Ndiye anawatuma
Amamlaumu simbachewene ati wastaafu wa polisi hawajalipwa? Kwani ni polisi tu? Alipochezea mifuko ya jamii wanasema ni uzalendo ati Uzalendo hovyooo
Ndiyo,maana tuliwakataa wapinzani... maana wao walisema kua wanataka HAKI NA MAENDELEOAhaaa, kijana vipi? Haki za binadamu ni suala linalohusu wazungu?
Shamgaa kwanza ya mdee kufutiwa mashtaka!Ahaaaa, anawatuma kubambikia watu kodi?