Mh Rais, Watanzania tunahitaji uisimamie katiba ya JMT inavyostahili


Unajifanya unaleta mada kisha unampamba kuwa ni mpenda haki na mfuata sheria! Hakuna mwizi yoyote wa kura ambaye ni muadilifu. Na hilo suala la TRA kubambikia watu kodi na kunyanyasa wafanyabiashara ni maagizo yake. Hapo alikuwa anafurahisha genge la wenye uelewa mdogo, ili kuwahadaa kuwa hujui nini kinaendelea.

Ukitaka kujua hafuati hiyo katiba na wala sio mtendaji haki, kawatangaza meya na naibu meya leo kwa nafasi ambazo hupatikana kwa kura za wajumbe. Amejisahau kutokana na yale maagizo aliyotoa ya kunajisi uchaguzi mkuu, sasa hivi anayafanya hayo hadharani maana amejua anaoongoza taifa lenye wanasheria wategemea tumbo, na wananchi makondoo. Huyo jamaa ni mlevi wadaraka kama walivyo walevi wengine wa madaraka.
 
Dhamana inapatikana kwa uchaguzi huru na wa haki, na sio kwa ule uhuni uliofanyika uchaguzi huu, na mwendelezo wa kunajisi chaguzi za nchi hii toka ameingia madarakani. Hakuna mwizi yoyote wa kura anayeweza kutenda haki.
Duh, hapa Jf unamalalamiko ya kudumu.
 
Jaduong, Mwl Nyerere alitawala tofauti na hii Katibq? Je, kama alijua kuna uonevu angeruhusu ufanyike? Kisa katiba hairuhusu kutetea?
JPM hadanganywi?
Nyerere huyo huyo alisema na namkuot " Kwa hii katiba ningeweza kuwa dictator" . Katiba yetu inamfanya Rais kuwa muamuzi wa kila jambo ktk maisha ya wananchi kila siku. Si sawa .

Ona sasa hata mambo ya kodi unataka atamke jambo.Si sawa
 
Nyerere huyo huyo alisema na namkuot " Kwa hii katiba ningeweza kuwa dictator" . Katiba yetu inamfanya Rais kuwa muamuzi wa kila jambo ktk maisha ya wananchi kila siku. Si sawa .

Ona sasa hata mambo ya kodi unataka atamke jambo.Si sawa
Jaduong tunataka haki.
 
Hili la kuvunja halmashauri ya jiji unamsingizia, sheria inamruhusu kufanya hivyo. Kasome Local Government (urban Authority) Act. Kifungu cha 5(3) kinampa mamlaka hayo. Wewe una kasumba ya kukariri upuuzi wa jamaa zako huko Twita bila kufanya tafiti.
 

Wapi nimekataa yeye kukosa madaraka ya kuvunja halmashauri? Au unataka kunilisha maneno? Nimese meya sio nafasi ya uteuzi wa rais kikatiba.
 
Wapi nimekataa yeye kukosa madaraka ya kuvunja halmashauri? Au unataka kunilisha maneno? Nimese meya sio nafasi ya uteuzi wa rais kikatiba.
Sasa kama manispaa ya Ilala imekuwa jiji ulitakaje? Uchaguzi wa meya ufanyile upya?
 
TRA wanaiga kutoka kwake, yeye alivyowabambimbikia kodi Barrick matokeo yake ameambulia almost zero
 
Kuna jambo moja ambalo watu wengi hawapendi kulizungumzia.Jambo hili ni uwekaji kumbukumbu sahihi za biashara hasa mapato na matumizi.Wafanya biashara wengi (ukiacha wa Ki Asia) hatuweki kumbukumbu hasa za matumizi katika biashara zetu.Mara nyingi tunaweka za mapato na hii inawapa mwanya TRA kukuingiza katika kumi na nane zao.
TRA nao wanatakiwa watenge pesa kiasi katika wanazokusanya na kutoa elimu ya uwekaji wa kumbukumbu za mahesabu kwa wafanyabiashara hasa wadogo na wa kati.
Ukosefu wa ajira uwahamasishe vijana waliosomea uhasibu na ukaguzi wa hesabu kuanzisha consultant units kwa ajili ya kuwaelimisha na kuwasaidia wafanya biashara wadogo kufunga hesabu zao vizuri (Serikali ilisimamie hili na kuwarahisishia uandikishaji-Leo tunashuhudia wakala wa m izani anatembea na mafundi wa mizani,zimamoto wanatembea na kampuni za fire extinguisher-Why not TRA na ctax consultants?
 
Point
 
Hivi huyu unayemshitakia hujui kuwa ndiye Kinara wa Uvunjaji wa katiba? Nyie watu mnakaa nchi gani?
 
Jiwe hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi
Kosa kubwa tuliyo fanya ni kuamini vichaa kama hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi TRA wanaweza kukadilia kodi bila kumbukumbu za mapato? Je kukiwa na consultants units kama unavyodai ndio hakutakuwa na ubambiakji kodi kubwa? Tunatakiwa tuwe na taifa linalosimamia haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…