Mh Rais, Watanzania tunahitaji uisimamie katiba ya JMT inavyostahili

Hivi TRA wanaweza kukadilia kodi bila kumbukumbu za mapato? Je kukiwa na consultants units kama unavyodai ndio hakutakuwa na ubambiakji kodi kubwa? Tunatakiwa tuwe na taifa linalosimamia haki.
Kuna mawili,hujanisoma vizuri au hujawahi kufanya biashara na kwenda TRA kukadiriwa kodi!!
 
Kuna mawili,hujanisoma vizuri au hujawahi kufanya biashara na kwenda TRA kukadiriwa kodi!!
Mkuu nimekusoma vizuri, Tra huwa wanashauri kila mfanya biashara atumie risiti ili kuweza kutunza taarifa za mapato. Kodi hukadiliwa kulingana na mapato.
 
Mkuu nimekusoma vizuri, Tra huwa wanashauri kila mfanya biashara atumie risiti ili kuweza kutunza taarifa za mapato. Kodi hukadiliwa kulingana na mapato.
Kodi hukadiriwa na kutozwa kutokana na faida.Ikiwa una mapato tu na matumizi ni madogo ina maana faida yako ni kubwa na kodi yako itakuwa kubwa.Wafanayabiashara hasa wadogo na wa kati huweka kumbukumbu za mapato tu lakini matumizi hawaweki na hii hufanya wakadiriwe kodi kubwa kwani inaonyesha faida ni kubwa!!NI KWA UELEWAWANGU!!
 
Nenda ofisi za Tra zilizokaribu na wewe.
 
Kweli elimu elimu watoe seminar za bure, kwa watu, wawaeleweshe, siyo kuwapiga tu penalty na faini.
Watoe elimu watunze kumbukumbu za elimu, kisha wafanyabiashara wakirudia kosa wapigwe hizo faini.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Katiba ni makaratasi tu ayo...
Mambo ya Haki za Binadamu pelekeni kwa Wazungu wanao wapa pesa.
IYOO MAWE KIPI KIMEMKUTA CHAGU WA MALUNDE???
 
Katiba ni makaratasi tu ayo...
Mambo ya Haki za Binadamu pelekeni kwa Wazungu wanao wapa pesa.
IYOO MAWE KIPI KIMEMKUTA CHAGU WA MALUNDE???
Ahaaa, kijana vipi? Haki za binadamu ni suala linalohusu wazungu?
 
Hivi Rais huwa anamlalamikiaga nani.
 
Hongera kwa hoja nzuri. Tatizo la TRA linaanza na yeye Meko mwenyewe. Ndiye anawatuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…