The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
I respect Nyerere but this union the man scammed Tanganyikans.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio umeshuhudia China Kwa mara ya kwanzaSoma nilichoandika. Kule china tayari zimeonekana nchi mbili tofauti zisizofungamana kabisa. Huu ni mwanzo wa kuvunja muungano. Ilikuwa haijawahi kutokea scenario ya hivyo since tangu na tangu
Zanzibar bila muungano ni sawa na newala huo ndio ukweli, zanzibar bila muungano imeachwa mbali hata na kahamaZanzibar ya sasa Bila Muungano watakufa njaa 🐼
Yes wakivunja muungano kile kinchi hakina mbele wala nyuma.Wanao weza kuvunja muungano ni raia waTanganyika wa kawaida wasio kua viongozi, ila raia wenyewe ndo hao mashabiki wa Simba naYanga hisia zao na akili zimetekwa na mpira kwa 90% lini watajua kwamba wananyoonywa.....Mpemba hawezi kuuvunja unamfaidi zaidi kuliko upande mgine.
Takwimu zinasema Pemba ndio wanaoongoza kwa kukata gogo huko maporini yaani kiufupi tu vyoo ni mtihani mkubwa sana kwao.Yes wakivunja muungano kile kinchi hakina mbele wala nyuma.
Wewe unadhani Wapemba wanaofanya biashara kariakoo watafurahi huo muungano ukivunjwa huko kwao Tumbatu watamuuzia nani biashara
hahahahaTakwimu zinasema Pemba ndio wanaoongoza kwa kukata gogo huko maporini yaani kiufupi tu vyoo ni mtihani mkubwa sana kwao.
Pamoja na mbwembwe kibao, ooh sijui nini na nini waanze kujenga kwanza vyoo.
Hili nalo neno.Hauwezi kuvunjika....hao wapemba wameiga mdomo wa waarabu tu...hawana kitu hata chakula tu wanategemea bara..mdomo tu