Mh Samia has vowed that by hooks and crooks the Union must break up before she leaves power and implementation is on going.

Mh Samia has vowed that by hooks and crooks the Union must break up before she leaves power and implementation is on going.

Soma nilichoandika. Kule china tayari zimeonekana nchi mbili tofauti zisizofungamana kabisa. Huu ni mwanzo wa kuvunja muungano. Ilikuwa haijawahi kutokea scenario ya hivyo since tangu na tangu
Wewe ndio umeshuhudia China Kwa mara ya kwanza

Hiyo ipo kitambo sana

Zanzibar ni nchi 😂😂
 
Wanao weza kuvunja muungano ni raia waTanganyika wa kawaida wasio kua viongozi, ila raia wenyewe ndo hao mashabiki wa Simba naYanga hisia zao na akili zimetekwa na mpira kwa 90% lini watajua kwamba wananyoonywa.....Mpemba hawezi kuuvunja unamfaidi zaidi kuliko upande mgine.
Yes wakivunja muungano kile kinchi hakina mbele wala nyuma.
Wewe unadhani Wapemba wanaofanya biashara kariakoo watafurahi huo muungano ukivunjwa huko kwao Tumbatu watamuuzia nani biashara
 
Samia Suluhu Hassan is a result of Union government.

She has vowed to protect the union as the pregnant woman preserves her womb.

#Union Government For Ever [emoji7]
 
Yes wakivunja muungano kile kinchi hakina mbele wala nyuma.
Wewe unadhani Wapemba wanaofanya biashara kariakoo watafurahi huo muungano ukivunjwa huko kwao Tumbatu watamuuzia nani biashara
Takwimu zinasema Pemba ndio wanaoongoza kwa kukata gogo huko maporini yaani kiufupi tu vyoo ni mtihani mkubwa sana kwao.

Pamoja na mbwembwe kibao, ooh sijui nini na nini waanze kujenga kwanza vyoo.
 
Viongozi wa Tanganyika ndio wanaoukumbatia Muungano kwa maslahi binafsi wanayonufaika nayo, vinginevyo kuwa na Serikali tatu na Katiba mpya ndiyo ufumbuzi:

Serikali ya Tanganyika makao yake yawe Dodoma, Serikali ya Zanzibar ipo tayari, makao yake yawe pale pale darajani wakati Serikali ya muungano iwe Dar es salaam kwenye ile ikulu ya mwarabu na mjerumani- Magogoni.

Hayo yote niliyoyataja hapo juu tayari yanafanyika japo kwa kificho kilicho bayana. 🤔
 
Wapemba wavunje Muungano? watakula nini? mpaka kabichi, nyanya chungu, vitanda, mahindi, soda, bia wanabeba huku bara leo wavunje muungano unadhani wao wajinga?
TV na friji used haziliwi
 
Back
Top Bottom