OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hapo zidisha mil 1 mara mil 100Tu-assume watz tupo mil 100.
Kila raia akipewa mil 1 maanake tutadaiwa jumla ya mil. Ngapi?
Ya kila kijiji yalishindikana ije kuwa kwa kila mtanzania!Huu ushauri unaweza kuuona ni wa kujinga,labda mpaka uwe na upeo wa mbali.
Nimeona serikali imekopa mabilioni kwa ajili ya kuruzuku sekta ya mafuta na bei zipungue. Kama serikali imekopa maana yake sisi-sisi ndio tutarudisha hiyo hela. Kama sisi ndio tutairudisha,sasa hapo tumekwepa nini? Maana yake serikali inamaanisha hii issue ni unkwepable.
Kama hili limewezekana basi serikali itutatulie na hili janga la kukosa hela ya kununua mahitaji muhimu. Itukopee
Ipige hesabu kila mtu apewe laki tano-tano mpaka milioni. Tutalipa mbele ya safari kama tutakavyolipa mkopo wa ruzuku ya mafuta.
Ni hayo! Jadili bila jazba
umepigia na watoto,au nao wapewe hizo hela?Tu-assume watz tupo mil 100.
Kila raia akipewa mil 1 maanake tutadaiwa jumla ya mil. Ngapi?
Ukiuzwa tunaweza ambiwa tuondoke. Sasa tutaenda wapiKwani kwanini isiuzwe tu kabisa tupate Uraia wa mnunuzi tu?...
unasema tuwape,wewe huchukui?Wote million 60 au tuwape wale ambao mko above 18
Kwenye kutununua tunaweka hako ka-kipengele kwamba MALI zilizonunuliwa HAZIRUDISHWI WALA HAZIHAMISHIKI...Ukiuzwa tunaweza ambiwa tuondoke. Sasa tutaenda wapi