OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Huu ushauri unaweza kuuona ni wa kujinga,labda mpaka uwe na upeo wa mbali.
Nimeona serikali imekopa mabilioni kwa ajili ya kuruzuku sekta ya mafuta na bei zipungue. Kama serikali imekopa maana yake sisi-sisi ndio tutarudisha hiyo hela. Kama sisi ndio tutairudisha,sasa hapo tumekwepa nini? Maana yake serikali inamaanisha hii issue ni unkwepable.
Kama hili limewezekana basi serikali itutatulie na hili janga la kukosa hela ya kununua mahitaji muhimu. Itukopee
Ipige hesabu kila mtu apewe laki tano-tano mpaka milioni. Tutalipa mbele ya safari kama tutakavyolipa mkopo wa ruzuku ya mafuta.
Ni hayo! Jadili bila jazba