Mh. Vicky Kamata CV ...[ Mungu tuokoe]

Status
Not open for further replies.
Kazaliwa September 1978 akaanza primary mwaka 1983. Mnaojua mahesabu atakuwa kaanza la kwanza na miaka mingapi? Tena enzi za mwalimu za kushika sikio la kushoto kwa mkono wa kulia kupitia juu ya kichwa?
Asipirini shikamoo..nilivyoona huo uchuro hapo kwenye tarehe za kuzaliwa na kuanza masomo ya elimu ya msingi nikaona huyu Kamata hata kukamata vizuri CV yake anashindwa, ataweza kutunga sheria zitumiwe na wazamivu wa elimu huyu..Rushwa ya ngono mbaya sana jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
unamfahamu vizuri Bill Gates wewe?
 
Kwani mpaka karne hii kuna vihiyo hasa ccm huyu dada aseme ukweli juu ya hiyo master's degree kwani ile instutite ya higher learning ifanye uchunguzi na kutoa majibu huwezi kupata dip bila distinction then ukapata admission uk this is wrong!
 
Hapo kwenye masters 2008-2008 sijaelewa.

Hata mimi sijaelewa hata kidogo. Ninajua Masters UK ni 12 months or so na kama ulianza June 2012 basi utamaliza around June or June/July 2013? Sasa hii ya kwake ni ya miezi au? She must be very smart up stairs? Kidding!!!
 

Mkuu shida ipo pale panapokuwa na harufu ya udanganyifu katika wasifu wa mtu, kama angekua mkweli na elimu yake hata kama ni std 7 watu wasingechonga hivi. Lakini pia lazima tufike mahali tukubali kuwa ili kwenda na kasi ya maendeleo na utandawazi na kuweza kung'amua mikataba mbalimbali na kuweza kuisimamia serikali, elimu ni muhimu mno
 

""The Impact of Microfinance Scheme in Boasting Women Income"". Hivi 'Boasting Women Income' ndio kitu gani? Au alitaka kumaanisha 'Boosting Women Income'?
 

jaman hizi cv zinakosewa kila siku???mnamkumbuka yule wa songea galz????
 
Tena wewe ungekuwa zaidi ya BillGates!

Unafanya nini huku? Umeona VK kazaliwa sept 1978 na january 1983 akaingia la kwanza? Alikuwa na miaka mingapi vile? Haya, changanya na zako afu unambie kwanini ulichelewa hivyo kuanza shule? Ulikuwa kilaza au?
 
Acha kuhoji Mkuu, wazee wenye nchi ndio wanapumzika hapo!!!!
 

Msiulize ulize, mkifikia kujua ukweli mnaweza kuogopa na kujuta. UK kama sikosei degree zinaaza oktoba na kuishia agosti, sasa hii ya mwaka 2008 hadi 2008 ni kali kweli, na Uk hata ukiwa na certificates 200 bado huqualify kusoma masters(stand to be corrected). Hii ndio bongo bwana. tusonge mbele.
 
Lakini watu wa SAUT wanaamini kua Vick alikamatwa kwa kesi ya kuiba mtihani na kufukuzwa kwa hiyo hakumaliz iyo elimu yake vizuri,anabahati jamani yani wote waliomaliza kwa elimu ya kama vick naye alipata kazi BoT kumbe ndo maana BoT inaibiwaibiwa ovyo...na kutoa hata noti feki..
 
Hata mimi sijaelewa hata kidogo. Ninajua Masters UK ni 12 months or so na kama ulianza June 2012 basi utamaliza around June or June/July 2013? Sasa hii ya kwake ni ya miezi au? She must be very smart up stairs? Kidding!!!

kuna zinazoanza january na ni miezi tisa nadhani,ni possible kumaliza mwaka huo huo....
 

Baosting women's income????, Differentiation in Univresity MBA program???? Huu ni upuuzi usiovumilika.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…