JOVINE EMMANUEL
New Member
- May 16, 2011
- 3
- 0
Watu wengine hawajui wanachokiongelea kwa sababu ya fitina zao uwe na uwezo wa kutofautisha kati ya Southampton University na Southampton Solent University maana hizo ni University mbili tofauti zinazopatikana katika Jiji la Southampton kwa hiyo msiingize makosa kwenye CV yake kwa sababu ya fitina zenu. Nasisitiza kwamba CV ya huyu mdada imekaa poa tu kama za watu wengine wa kawaida na anafaa kuwakilisha jamii.
Kwani hiyo Public relation ya ESAMI sio degree??
Enhe, tatizo liko pi?
Nadhani kuna vitu tunatakiwa kuwa wadadisi kidogo
kuna hisia zimetumika zaidi katika kujadili hiyo CV .
Ni vyema kila mtu akaukumiwa kwa HAKI hata kama ana makosa mengine.
Ukweli ni huu
kwa mtu mwenye work experience miaka 5 (managerial ) na diploma (sometime bila Diploma ) kama una uzoefu wa kiuongozi vyuo vingi UK zinaweza kukubali kusoma Masters kwa mwaka mmoja.
Kwa maana hiyo sio kweli kwamba kusoma MASTERS lazima uwe na SHAHADA ya kwanza
Aise kama umbea una faida wabongo tungekua mamilionea
Angalia hapo kwenye red halafu rejea historia yake ya shule. Kasomea certificate ya PR/Customer service 2007, then 2008 anafanya MSc! Hiyo miaka mitano ya managerial iko wapi? Na sina hakika hiyo PR course ilikuwa ya mwaka mzima au ni zile short courses unapata certificate ya chap chap.
Uko sawa, Masters UK ni mwaka mmoja except kwa vyuo vichache sana kama London Business School (MBA) ambayo ni 16-24 months(incl field work).
Pia, sijui kama kosa ni la huyo binti au ni watendaji wa bunge au kuna mtu alimuandalia hiyo CV. Kwenye publication angalia mpangilio wa majina ya author, ameanza V.Kamata ... Nilidhani inaandikwa the other way round ; Kamata V. Na hii iko kote kwenye list ya publications zake.
Nadhani watu wanachohoji ni ukweli wa killichoandikwa na legislature. Sina tatizo kama mtu ana elimu ya STD 7 au PhD. Cha muhimu ni kutoa taarifa sahihi, especially kama wewe uko kwenye chombo cha kutunga sheria. Hii ni kwa ajli ya kulinga heshma ya huu mhimili lakini pia kutofanya watu wakose imani na wanasiasa.
Unafanya nini huku? Umeona VK kazaliwa sept 1978 na january 1983 akaingia la kwanza? Alikuwa na miaka mingapi vile? Haya, changanya na zako afu unambie kwanini ulichelewa hivyo kuanza shule? Ulikuwa kilaza au?
Kwa UK ni sawa, Masters ni miezi 9 jomba....
victoria paschal kamata, mtoto wa mama deo. Alizaliwa mwaka 1974 na 1978, miaka ya 1990-1995 mama deo (mama mzazi wa victoria kamata) alikuwa amepanga kwenye nyumba ya mzee bosco maeneo ya kreluu mabatini mwanza. Wakati huo victoria alikuwa msichana mkubwa (nilikutana nae mwaka 1993) kunizidi mie ambae nimezaliwa 1975. Baadae mama deo ambaye alikuwa mfanyakazi wa benki kuu mwanza akahamia nyakato mecco ambako alijenga nyumba, na tulikuwa tunakutana na victoria mara kwa mara. Kuna kipindi alisomea chuo cha uhasibu mbeya akashindwa, na ana mtoto wa kiume ambae alimzaa kati ya mwaka1995 au 1997 na tapeli mmoja wa musoma. Wadau hayo ni kwa kifupi tu, mkitaka zaidi naweza kuwaletea humu kuhusu huyu dada yangu. Sijapenda uongo wake.
Kazaliwa September 1978 akaanza primary mwaka 1983. Mnaojua mahesabu atakuwa kaanza la kwanza na miaka mingapi? Tena enzi za mwalimu za kushika sikio la kushoto kwa mkono wa kulia kupitia juu ya kichwa?
CV ya mtu sio issue. Ila anaweza ku-deliver? Kwani Thomas Edison aliyevumbua bulb baada ya kufanya experiment mara elfu kumi( 10,000 x) alikuwa na masters ya nini? Bill Gates ambaye ni owner wa Microsoft(unatumia Windows PC?) ana degree? Tatizo la watu walio wengi Tanzania wanaangalia CV za watu kana kwamba CV ndio zinazoleta maendeleo ya nchi yetu. CV zenye PhD,masters lukuki zimejaa maofisi ya serikali lakini zainabakia kucheza karata tu,ufanisi hamna.
Tukokane na huu upuuzi wa kufikiri kuwa CV za watu ndio kielelezo sahihi cha kumthamini mtu na thamani ya kile ambacho mtu anaweza kufanya. CV ina umuhimu wake lakini muhimu zaidi ni "deliverables"