Angalia hapo kwenye red halafu rejea historia yake ya shule. Kasomea certificate ya PR/Customer service 2007, then 2008 anafanya MSc! Hiyo miaka mitano ya managerial iko wapi? Na sina hakika hiyo PR course ilikuwa ya mwaka mzima au ni zile short courses unapata certificate ya chap chap.
Uko sawa, Masters UK ni mwaka mmoja except kwa vyuo vichache sana kama London Business School (MBA) ambayo ni 16-24 months(incl field work).
Pia, sijui kama kosa ni la huyo binti au ni watendaji wa bunge au kuna mtu alimuandalia hiyo CV. Kwenye publication angalia mpangilio wa majina ya author, ameanza V.Kamata ... Nilidhani inaandikwa the other way round ; Kamata V. Na hii iko kote kwenye list ya publications zake.
Nadhani watu wanachohoji ni ukweli wa killichoandikwa na legislature. Sina tatizo kama mtu ana elimu ya STD 7 au PhD. Cha muhimu ni kutoa taarifa sahihi, especially kama wewe uko kwenye chombo cha kutunga sheria. Hii ni kwa ajli ya kulinga heshma ya huu mhimili lakini pia kutofanya watu wakose imani na wanasiasa.