nikiwa kitandani ucku huu huku nikisikiliza radio times fm wakijadili zilizo make headline katika burudani nimemsikia mtangazaji akisema nyimbo mpya ya linex wa 'wema kwa ubaya' umegharamiwa na mh zzk kuanzia audio hadi video kiasi kilichotumika 10 milioni. Je huu ni muendelezo wa leka dutigite au?

Zito wekeza na akhera yako dunia ni mapito kaka
Unajuaje na akhera hajawekeza?
nikiwa kitandani ucku huu huku nikisikiliza radio times fm wakijadili zilizo make headline katika burudani nimemsikia mtangazaji akisema nyimbo mpya ya linex wa 'wema kwa ubaya' umegharamiwa na mh zzk kuanzia audio hadi video kiasi kilichotumika 10 milioni. Je huu ni muendelezo wa leka dutigite au?
sa yule matumbo alivosema linex na wenzake wanalalamika jinsi zzk anavyowanyonya