Mh. Zuberi Zitto Kabwe amchangia Linex 10ml

Lua

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
704
Reaction score
305
Nikiwa kitandani usiku huu huku nikisikiliza radio times fm wakijadili zilizo make headline katika burudani nimemsikia mtangazaji akisema nyimbo mpya ya Linex wa 'wema kwa ubaya' umegharamiwa na mh Zuber Zitto Kabwe kuanzia audio hadi video, Kiasi kilichotumika 10 milioni.

Je huu ni muendelezo wa leka dutigite au?
 
nikiwa kitandani ucku huu huku nikisikiliza radio times fm wakijadili zilizo make headline katika burudani nimemsikia mtangazaji akisema nyimbo mpya ya linex wa 'wema kwa ubaya' umegharamiwa na mh zzk kuanzia audio hadi video kiasi kilichotumika 10 milioni. Je huu ni muendelezo wa leka dutigite au?

Mgao wa pesa ya nssf na Tanapa huo
 
kwani wewe ulitakaje?

nikiwa kitandani ucku huu huku nikisikiliza radio times fm wakijadili zilizo make headline katika burudani nimemsikia mtangazaji akisema nyimbo mpya ya linex wa 'wema kwa ubaya' umegharamiwa na mh zzk kuanzia audio hadi video kiasi kilichotumika 10 milioni. Je huu ni muendelezo wa leka dutigite au?
 
sa yule matumbo alivosema linex na wenzake wanalalamika jinsi zzk anavyowanyonya
 
Ukiwa kitandani peke yako au na bwana ako, manake mpaka usikie wivu kwa wengine wakipigana tuff utakuwa na matatizo mpaka ulete thread ya kizembe namna hii?

nikiwa kitandani ucku huu huku nikisikiliza radio times fm wakijadili zilizo make headline katika burudani nimemsikia mtangazaji akisema nyimbo mpya ya linex wa 'wema kwa ubaya' umegharamiwa na mh zzk kuanzia audio hadi video kiasi kilichotumika 10 milioni. Je huu ni muendelezo wa leka dutigite au?
 
Jina la huo wimbo ni tosha kuwa Zito amechangia ili atoe dedication
 
Back
Top Bottom