TANZIA Mhadhiri Chuo Kikuu Ardhi, Dkt. Job Chaula afariki dunia wakati akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Acha ujinga wewe una uhakika gani wataondoka.Corona sio lethal kiasi hicho.Ingekuwa hivo dunia ingekuwa na vifo hata millioni 10 huko kuna uwezekana hawajaambukizwa au hata kama wameambukizwa wasiahe dunia wakawa kwenye 80% ya ambao hupona smoothly.Wewe unatabiria wenzako kupotea as if ni sifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Plus haijawa confirmed kama ni covid wewe umejuaje au siku hizi muhimbili wameanza kutibu covid19?? Maana nilisikia Muhimnili inalindwa sasa sijui unatoa wapj hizi Habari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

AMEN
 
Pumzika kwa Amani Dr.

Ni mtu aliyekuwa anaitumikia vyema nafasi yake ya u-Dean wa Skuli ya SERBI pale Ardhi University na matunda yalikuwa yanaanza kuonekana.
Kweli kabisa, Chaula was a right man in every office he happened to be. May his gentle soul find everlasting peace in Heaven. Kifoo kifoo kifo ....
 
Sijui kimetokea nini nikafungua page hii...hadi nikakutana na aya hii ya kishetani!
 
jenifa yuko wapi sasa hivi,? Ataolewa tena kwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…