Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimescreenshoot huu ujumbe wako uliomwandikia nimtumie.Pole sana ndugu wote na watanzania, Dada Jenifer nomba usimame kwa Mung kama ni mume utapata mwengine, ndio utapata hamu ya tendo lakini subiri mume usifanye zinaa
Ok!Huyo Mama ni Mkongwe wa nyimbo za injili Tanzania.
No one is safe!Acha uongo usiongee kitu usichokijua dr chaula ni mkwe wangu mkewe jenifa mgendi wala hayuko hoi kama unavosema na hajafa kwa covid 19 maana hakuwa tested ila alionekana ana shida kwenye mapafu ndo wakampeleka upanga na jana ndo alihamishiwa Muhimbili
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah, mtakwisha wote huku mpumbavu kajifungia ndani, Covid -19 attacks lungs extremelyAcha uongo usiongee kitu usichokijua dr chaula ni mkwe wangu mkewe jenifa mgendi wala hayuko hoi kama unavosema na hajafa kwa covid 19 maana hakuwa tested ila alionekana ana shida kwenye mapafu ndo wakampeleka upanga na jana ndo alihamishiwa Muhimbili
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma hotuba ya Mbowe ndo utajua Tanzania hali ilivyoGod..!!
Duh... Yani huu uzi sijui wa nne wa Tanzia.
Watu wanakata moto jamani.
Katika Yale mabox yaliyotoka Madagascar ni mangapi yatakwenda Chato?COVID-19 doesn't mean death, chances za kupona ni nyingi zaidi.
Ndugu,kwani unaenda wapi?Mtakao kuwa hai wakati wa uchaguzi msisahau kumchagua Dr JPM
Kabudi kafungua boksi na kujinywea bila ruhusa, subiri kitakachompata kutoka kwa mwenye dawa zake, maana yeye alidhani labda zile ni Vimto.Katika Yale mabox yaliyotoka Madagascar ni mangapi yatakwenda Chato?
Covid-19 hana utani anatoa one way ticket kwa Sir GodNdugu,kwani unaenda wapi?
Basi sawa wasalimie huko "nchi nzuri yametameta"Covid-19 hana utani anatoa one way ticket kwa Sir God
Duh duh unataka kutuambia nini mkuu!?Pole sana ndugu wote na watanzania, Dada Jenifer nomba usimame kwa Mung kama ni mume utapata mwengine, ndio utapata hamu ya tendo lakini subiri mume usifanye zinaa
Nawewe utaondoka Lin?Aisee huyu jamaa anaondoka na wahadhiri na watumishi wote wa chuo Kikuu Ardhi. Jamaa alianza kuonesha dalili za korona akiwa hitech hospital wakakosa mashine za kumuekea coz alikuwa hawezi kupumua na presha ilimpanda gafla. Juzi wakamleta muhimbili jana at leats akaonesha dalili za kutoboa watumishi kama wote wa chuo kikuu Ardhi wakajazana kwenye ambulance ya chou chao kwenda kumuona mpaka jioni wakarudi ma ofisini kupiga kazi kama kawaida.Asubuhi Jamaa akamaliza safari yake habari ndio hizo. VC Ardhi jipange sasa kwa misiba mzee baba wewe acha watumishi wako waendelee kukomaa maofisini kama makubwa hutoyaona. CICT yote wataondoka, SERBI yote wataondoka, Management yote wataondoka nasikia pia mke wake yuko hoi kinyama.