Aisee huyu jamaa anaondoka na wahadhiri na watumishi wote wa chuo Kikuu Ardhi.Jamaa alianza kuonesha dalili za korona akiwa hitech hospital wakakosa mashine za kumuekea coz alikuwa hawezi kupumua na presha ilimpanda gafla. juzi wakamleta muhimbili jana at leats akaonesha dalili za kutoboa watumishi kama wote wa chuo kikuu Ardhi wakajazana kwenye ambulance ya chou chao kwenda kumuona mpaka jioni wakarudi ma ofisini kupiga kazi kama kawaida.Asubuhi Jamaa akamaliza safari yake habari ndio hizooooo.VC Ardhi jipange sasa kwa misiba mzee baba wewe acha watumishi wako waendelee kukomaa maofisini kama makubwa hutoyaona.CICT yote wataondoka, SERBI yote wataondoka, Management yote wataondoka nasikia pia mke wake yuko hoi kinyama.