Mhadhiri NIT akiri kumuomba rushwa ya ngono Mwanafunzi wake

Mhadhiri NIT akiri kumuomba rushwa ya ngono Mwanafunzi wake

Huyu mzee ana mtoto was kike ambaye ni mtangazaji wa tbc kipindi cha stimela kinaanzaga SAA 9 mpaka 12 jioni Kalunde Samson Mahimbo aibu sana aisee mzee kama wewe wenzio wanaomba rushwa ya hela we unaomba papuchi.
 
Kumbe mahakama sasa wamebadili hukumu hiyo kukubaliana na mwendesha mashtaka nilijua ni mafisadi tu kumbe mpaka kwenye ngono.kwa hiyo nikimtia mimba mtoto wa shule nikakubaliana na mwendesha mashtaka nikakubali kosa nikalipa fine naachiwa?
Jaribu uone kitakachokupata
 
Hebu fikiria mke wake na watoto wake kwa aibu hii. Haya madushe yetu ni ya kulaani kweli
Aibu sana, hapo je anasindikizwa na mahakamani kweli na familia au walikuwa wanasubili apate mvua wakamtembelee gerezani tu!
 
DRA (.......Revenue Authority?)
 
Hili liwe fundisho,miaka 69 du kwani hana mke?
Menina alipovujishiwa video mlilalamika, Kwani anatongozwa na wangapi,? Kwan Lazima umfedheheshe binadamu mwenzio? Hakupaswa kufanya hivi, n lemme tell you something atakuja kufanyiwa Zaidi ya hivi. Au atakuwa na mikosi ajiulize shida ni nini kumbe ni haya mambo ya ujinga.
 
Nilikuwa nasema kwa msukuma ukishikwa ugoni ni urijali bali kwetu wengine ni uchuro ingawa K tunazipenda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
, Ila kweli wasukuma hawanaga aibu
 
Mzee aibu kweli uso umemshuka hapo atatoa ushauri kwa wanae tu wengine mmm watamshushua [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom