Lavan Island
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 2,377
- 2,048
Siku hizi 35 tu hamna kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui vijana wa siku hizi wanakwamia wapi? Miaka 69 bado moto wake hauzimi
Jaribu uone kitakachokupataKumbe mahakama sasa wamebadili hukumu hiyo kukubaliana na mwendesha mashtaka nilijua ni mafisadi tu kumbe mpaka kwenye ngono.kwa hiyo nikimtia mimba mtoto wa shule nikakubaliana na mwendesha mashtaka nikakubali kosa nikalipa fine naachiwa?
Aibu sana, hapo je anasindikizwa na mahakamani kweli na familia au walikuwa wanasubili apate mvua wakamtembelee gerezani tu!Hebu fikiria mke wake na watoto wake kwa aibu hii. Haya madushe yetu ni ya kulaani kweli
Rijali wapi wengine huishia kutizama isidingo cha maana hakunaKidogo ukishikwa ugoni inaonesha wewe ni rijali
Siku hizi 35 tu hamna kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena kubwa mnoHili pia ni janga la kitaifa[emoji28][emoji28][emoji28]
Nilikuwa nasema kwa msukuma ukishikwa ugoni ni urijali bali kwetu wengine ni uchuro ingawa K tunazipendaRijali wapi wengine huishia kutizama isidingo cha maana hakuna
Menina alipovujishiwa video mlilalamika, Kwani anatongozwa na wangapi,? Kwan Lazima umfedheheshe binadamu mwenzio? Hakupaswa kufanya hivi, n lemme tell you something atakuja kufanyiwa Zaidi ya hivi. Au atakuwa na mikosi ajiulize shida ni nini kumbe ni haya mambo ya ujinga.Hili liwe fundisho,miaka 69 du kwani hana mke?
Ijumaa iliyopita nilisikia magazetini kutambuliwa hivyo RasmiHembu nisaidiee...
Rushwa ya ngono nayo ni uhujumu uchumi???
hii nchi isitutanieee.
Yes anatiririka tu nguvu anazo bado.Kwa mwanaume ni kawaida tu asee hakuna mwanaume anayetosheka ngono, sema miaka 69[emoji23]
Tena na hicho kitambi alikua akae alafu huyo dent aiokote kama maua sama.Miaka 69 duh ha haha ha[emoji23][emoji16][emoji23] nimenyosha mikono[emoji119][emoji119][emoji119]
Doooo!!!!! kama ni hivyo..Ijumaa iliyopita nilisikia magazetini kutambuliwa hivyo Rasmi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwa nasema kwa msukuma ukishikwa ugoni ni urijali bali kwetu wengine ni uchuro ingawa K tunazipenda
Kwani wengine wanakuwaje [emoji23][emoji23][emoji23]Sipati picha huyo dingi akiwa uchi anakuaje.