Mhagama: limeni sana mahindi ili muweze kuongeza wake wengine!

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Akizungumza na wakazi wa baadhi ya vijiji mkoani Ruvuma, bi Jenista amesema mahindi Kwa sasa ni zao la biashara linalowapatia wananchi fedha nyingi.

Maana mahindi Kwa sasa si zao la chakula pekeee kama walivyozoea zamani, bali pia ni zao la biashara hivyo wanapaswa kulima Kwa wingi ili liwapatie fedha nyingi na wale wanaoruhusiwa waongeze wake wengine.

Kazi kwenu.
 
Muda huohuo,Mo Dewji mwenye hela nyingi,unakuta ana mke mmoja,ukija kwa Waziri mkuu,ana mke mmoja,ila watu wenye pesa chache ukilinganisha na hao waliotajwa,wanashauriwa na Waziri,waongeze wake badala ya kushauriwa kuboresha huduma za afya kama kuwakatia watoto bima,wao wenyewe kuwa na uhakika wa matibabu n.k
 
Akizungumza na wakazi wa baadhi ya vijiji mkoani Ruvuma, bi Jenista amesema mahindi Kwa sasa ni zao la biashara linalowapatia wananchi fedha nyingi.

Maana mahindi Kwa sasa si zao la chakula pekeee kama walivyozoea zamani, bali pia ni zao la biashara hivyo wanapaswa kulima Kwa wingi ili liwapatie fedha nyingi na wale wanaoruhusiwa waongeze wake wengine.

Kazi kwenu.
CCM Oyeee !!
 
MAMA AMELEWA UWAZIRI AMEANZA KEJELI
 
Back
Top Bottom