The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Mjinga siku zote huwa anapewa wazo linaloendana na hali yake! Ukimpa wazo la tofauti ataon kama unaingilia maamuzi yake!Badala hata washauri kuongeza nyumba au mali ,kusomesha shule nzuri
Mi ngoja nkae kimya[emoji18][emoji18]
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM Oyeee !!Akizungumza na wakazi wa baadhi ya vijiji mkoani Ruvuma, bi Jenista amesema mahindi Kwa sasa ni zao la biashara linalowapatia wananchi fedha nyingi.
Maana mahindi Kwa sasa si zao la chakula pekeee kama walivyozoea zamani, bali pia ni zao la biashara hivyo wanapaswa kulima Kwa wingi ili liwapatie fedha nyingi na wale wanaoruhusiwa waongeze wake wengine.
Kazi kwenu.
MAMA AMELEWA UWAZIRI AMEANZA KEJELIAkizungumza na wakazi wa baadhi ya vijiji mkoani Ruvuma, bi Jenista amesema mahindi Kwa sasa ni zao la biashara linalowapatia wananchi fedha nyingi.