TANZIA Mhandisi Charles Salus Ogare wa DART afariki dunia

Just reminding you Corona guys

CHAN Cameron, team ya taifa ya Congo DR wachezaji wa4 na kocha wao wamekutwa na Corona, ila wakina Manula and Co hamna mwenye corona
 
Mtendaji Mkuu Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka - DART Mhandisi Ronald Lwakatare anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya ya Maendeleo ya Usafirishaji Mhandisi Charles Salus Ogare kilichotokea saa 11: 00 asubuhi Januari 25, 2021 katika Hospitali ya Mloganzila jijini Dar es Salaam.

Msiba upo nyumbani kwa marehemu Tabata Kinyerezi jirani na Songas jijini Dar es Salaam. Taarifa zaidi za msiba huu ikiwemo taratibu za mazishi zitatolewa baadaye.

Marehemu Ogare alizaliwa Machi 30, 1965, Mkoani Mara.
Mtendaji Mkuu anawaomba watumishi wote kushirikiana katika kipindi hiki kigumu cha msiba.

Watu wanakatika vibaya tuwe makini sana.
 
Wandugu katika bwana vaeni barakoa!😷😷😷
1012661602.jpg
 
Mtendaji Mkuu Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka - DART Mhandisi Ronald Lwakatare anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya ya Maendeleo ya Usafirishaji Mhandisi Charles Salus Ogare kilichotokea saa 11: 00 asubuhi Januari 25, 2021 katika Hospitali ya Mloganzila jijini Dar es Salaam.

Msiba upo nyumbani kwa marehemu Tabata Kinyerezi jirani na Songas jijini Dar es Salaam. Taarifa zaidi za msiba huu ikiwemo taratibu za mazishi zitatolewa baadaye.

Marehemu Ogare alizaliwa Machi 30, 1965, Mkoani Mara.
Mtendaji Mkuu anawaomba watumishi wote kushirikiana katika kipindi hiki kigumu cha msiba.

Ni changamoto za upumuaji.
 
Kumbe UDART Kuna watu waliokwenda shule.
Mrani unaendeshwa Kama vile viongozi Ni wapiga debe stendi ya Mafinga
 
Back
Top Bottom