1. Hivi zilikua badi hazijalipwa?Fikiria badala ya kulipa dola milioni 37 akataka serikali ilipe dola milioni 86! Hii nadhani amevunja rekodi sijui tuite ya nchi au dunia!
Lakini bado natafakari kuwa ufisadi huu hafanyi peke yake. Lazima kuna mtu au genge la watu anashirikiana nao.
2. Kuna mlolongo mkubwa hapo maana hata anayeidhinisha kuwa lipa, anajua kilichofanyika. Issue kubwa kama hizi wanajua kila kitu say original price and then it is inflated, lazima wahoji hii mbona imekuwa inflated. Wajulikane wote