Mhandisi John Nzulule Mtendaji Mkuu wa Wakala wa ndege za serikali amekua akishirikiana na nani?

Mbona unaongeza Chunvi penye sukari? Jamaa kakamatwa kwa kuongeza bei ya invoice ya wadai wa ndege ya ATCL ya mizigo.

Wewe umeenda mbele zaidi na kusema alipiga hata ndege za Serikali na zile za ATCL Je, una ushahidi wowote au ndio DHANA..
Unadai ushahidi kwani wewe ni takukuru au umejiteua kama tume ya uchunguzi?! Nyau we!
 
Anatokea kanda gani huyoo
 
Amenenepeana kwa rushwa na madili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…