Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika

18 September 2020

SABABU ZA TUNDU LISSU KUTAKA UJENZI WA RELI RUKWA, KATAVI NA SONGWE

 
kipande cha dar -moro kilishakamilika?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
kipande cha dar -moro kilishakamilika?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Mradi wa SGR mambo magumu ndiyo maana CCM Mpya mradi huu hawaupigii chapuo ktk uchaguzi wa 2020 kama mafanikio wala maono ya mgombea wa urais wa CCM 2020.
 
Miaka 15 ni kuendelea kutumika baada ya kukarabati sio inakarabatiwa kwa miaka15 acha uzwazwa

Wewe ndiye zwazwa.
Alichosema Mhandisi ni sahihi. It will take 10-15 years kukamilisha ujenzi wa SGR ndo maana wanaendelea kukaratabati hii Reli ya zamani(MGR) Ili iendelee kutumika mpaka muda huo!!
 
Wewe ndiye zwazwa.
Alichosema Mhandisi nu sahihi. It will take 10-15 years kukamilisha ujenzi wa SGR ndo maana wanaendelea kukaratabati hii Reli ya zamani(MGR) Ili iendelee kutumika mpaka muda huo!!

Na kukamilisha ujenzi wa Reli Mpya SGR kilometa 1,200 ni kazi nzito, sidhani itakamilika itakuwa kipande tu.

Bora waendelee kukarabati na kuiimarisha reli hiyo ya zamani MGR ibebe mzigo mwingi na kuongeza kasi ya treni hicho kipo ndani ya uwezo wa uchumi wetu.
 

Tatizo la Serikali ya CCM ya Magufuli anafikiri kila mradi ni Siasa....No sir!
Huu Ni uzwazwa fulani wa kutaka sifa za kijinga. Huwezi kuanzisha miradi mikubwa kwa mpigo wakti hujui Fedha utapata wapi!! Mara SGR, sijui Stieglers Gorge, mara Bombadier, mara Flyover, mara Chattle Airport, mara Burigi National Park, mara elimu bure etc, vyote hivi HAVIJAPITISHWA NA BUNGE LA BAJETI....Ni mtu kalala na mkewe kesho anaanzisha mradi....All those Non-sense!!
 
24 September 2020

MASANJA KUNGU KADOGOSA : ROLLING STOCK MANAGEMENT


Ukarabati wa Reli ya kati mkoloni MGR kilometa 970 Dar es Salaam mpaka Isaka. Pia reli ya mkoloni ya Dar to Korogwe to Tanga na Korogwe Moshi to Arusha.
 
25 September 2020
Dodoma

DK. HASSAN ABBAS , AKIRI NI KWELI RELI SGR MPYA NI MAENDELEO YA VITU

Msemaji Mkuu wa Serikali Dr. Abbas azungumzia Vipande vya Ujenzi wa Reli Mpya ya SGR



Msemaji Mkuu wa Serikali Dr. Hassan Abbas azungumzia Vipande vya Ujenzi wa Reli Mpya ya SGR katika mradi wa kilometa 1,200 toka Dar es Salaam mpaka Mwanza
 
Mradi wa SGR mambo magumu ndiyo maana CCM Mpya mradi huu hawaupigii chapuo ktk uchaguzi wa 2020 kama mafanikio wala maono ya mgombea wa urais wa CCM 2020.

Wacha uongo Bagamoyo.

 
October 2020
Dar es Salaam, Tanzania

Viongozi wa dini watembezwa katika jengo la stesheni ya reli jijini Dar es Salaam


Source : TRC RELI TV
 
Rais Lazarus Chakwera wa Jamhuri ya Malawi atoa neno kuhusu SGR Reli

 
Kitongoji cha Kigogo ktk jiji la Dar es Salaam ambapo reli ya SGR Mpya inaendelea kujengwa

 
Mzee wa vitambulisho vya wamachinga kukopea benki yeye anasema inaisha lini?
 
hii kitu ni white elephant........ ndio shida ya kufanya mambo kwa kukurupuka!

Uko sahihi mkuu. Unakumbuka upinzani ulitaka PPP model itumike. Mtaji usingekuwa shida kubwa. Sasa hata mradi huu kukamilika ni mashaka. Hatuwezi tukawa miradi mingi hivi kwa wakati mmoja na yote ikigharimiwa na serikali. Mingine haitatoboa na huu ni mmoja wapo!

Tuna shida kubwa ya kujifunza. Tunadhani tukiiga jambo la mzungu basi tunakuwa hatuna uhuru!! Miradi hii ni mikubwa sana kwa chumi ndogo kama za kwetu. Tukiifanya inaacha madhara makubwa kiuchumi!!
 
Ni kweli Kabisa, tuliopo karibu na Mradi tunaelewa
 
25 November 2020

SGR KIPANDE CHA MORO-MAKUTUPORA NI ZAIDI YA 47%, UJENZI MAHANDAKI KILOSA UNAENDELEA

Mkaguzi Mkuu wa Mahesabu (CAG ) atembelea mradi wa reli mpya ya SGR kukagua kwa kujionea kazi iliyofanyika


Source : TRC RELI TV

 
29 Dec 2020
Dodoma, Tanzania

Mvua yazoa Miundo-Mbinu, Abiria 700 wakwama
Abiria zaidi ya 730 waliokuwa wanasafiri kwa garimoshi kuelekea Dar es Salaam wakitokea mikoa ya Kigoma, Katavi na Tabora wamekwama katika kituo cha treni Dodoma baada ya miundombinu ya reli kuharibiwa na mvua katika stesheni za Kikomo na Igandu.

Source : Azam TV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…