Babe la mji JF-Expert Member Joined Dec 14, 2019 Posts 983 Reaction score 2,058 Aug 12, 2021 #41 Jidu La Mabambasi said: Dont think it was a mistake. Ilipangwa hiyo kitu. Kama vigogo walioenguliwa Bashiru, Pole pole hawana mkono hapo nitashangaa! Polepole ni openly anti Mama Samia. Click to expand... Hao jamaa m nawaona mwisho wa siku ni washindi tusubili muda utatoa majibu.Hawaogopi wanafanya kwa mkakati madhubuti
Jidu La Mabambasi said: Dont think it was a mistake. Ilipangwa hiyo kitu. Kama vigogo walioenguliwa Bashiru, Pole pole hawana mkono hapo nitashangaa! Polepole ni openly anti Mama Samia. Click to expand... Hao jamaa m nawaona mwisho wa siku ni washindi tusubili muda utatoa majibu.Hawaogopi wanafanya kwa mkakati madhubuti
Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 16,419 Reaction score 26,594 Aug 12, 2021 Thread starter #42 Babe la mji said: Hao jamaa m nawaona mwisho wa siku ni washindi tusubili muda utatoa majibu.Hawaogopi wanafanya kwa mkakati madhubuti Click to expand... Tunasubiri kisago tu! Their days are numbered!
Babe la mji said: Hao jamaa m nawaona mwisho wa siku ni washindi tusubili muda utatoa majibu.Hawaogopi wanafanya kwa mkakati madhubuti Click to expand... Tunasubiri kisago tu! Their days are numbered!
mwanateknolojia JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 1,026 Reaction score 1,749 Aug 12, 2021 #43 Kama ni kweli Mama ana mpango wa kugombea 2025, basi afanye kufagia ndani ya chama na serikali wale wote wanaojaribu kupima joto lake kwa mikono!
Kama ni kweli Mama ana mpango wa kugombea 2025, basi afanye kufagia ndani ya chama na serikali wale wote wanaojaribu kupima joto lake kwa mikono!
Babe la mji JF-Expert Member Joined Dec 14, 2019 Posts 983 Reaction score 2,058 Aug 12, 2021 #44 mwanateknolojia said: Kama ni kweli Mama ana mpango wa kugombea 2025, basi afanye kufagia ndani ya chama na serikali wale wote wanaojaribu kupima joto lake kwa mikono! Click to expand... Hawezi hata siku moja wenye chama hawatakubali.
mwanateknolojia said: Kama ni kweli Mama ana mpango wa kugombea 2025, basi afanye kufagia ndani ya chama na serikali wale wote wanaojaribu kupima joto lake kwa mikono! Click to expand... Hawezi hata siku moja wenye chama hawatakubali.