Mhariri wa Gazeti la Majira umewaza nini hadi kuja na Kichwa cha hovyo hiki cha Habari leo?

Mhariri wa Gazeti la Majira umewaza nini hadi kuja na Kichwa cha hovyo hiki cha Habari leo?

Huwa nahusudu sana nyuzi zako ila kwa huu uzi umeteleza!
Rekodi aliyoifikia hujaitaja ili tuipime ni kweli ama si kweli.
Nyerere alitunukiwa PhD huko lndia na huyu kafanyiwa hivyo hivyo je hii yaweza kuwa ndiyo Majira waisemayo?
Sijalisoma gazeti.
Yani wewe kama jinga ndio nyie wajinga mna simu janja au laptop mkiulizwa kudadisi utaki tena kupitia vifaa vyako Yani google unayo unataka kumuuliza muuza kahawa.
Ilo gazeti lipo umeshindwa kulitafuta.
Ccm bado Ina nyani wengi
 
Tena mama Samia kavunja rekodi, kama ilimchukuwa nyerere miaka 24 kupewa hiyo heshima, Mama Samia imechukuwa miaka miwili na na nusu tu kutunukiwa.

Mwandishi kawa kidogo "conservative".
Kwani ilikuwa ya kutolea jasho?
 
Back
Top Bottom