Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yako ya 'Kuwekwa' ndiyo Kubwa?Una shule ndogo..
Sawa "magenius" ni wachache na ni kweli hawapotezi muda baada ya CAPTIONS za magazeti....[emoji1787]Kwa Genius yoyote yule Caption / Headline ya Gazeti lolote inatosha Kukuambia Upumbavu ulioko katika Content ya Taarifa husika na kutopoteza muda wa Kuisoma.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
[emoji44][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rubbish and Nonsensical.
Kwa sasa Tanzania haina Kiongozi wa Kuuondoa Umasikini uliowakomaa Watanzania, ila una Viongozi Wanafiki na Mafisadi tupu.Kwa tabia hiz za watz hii nchi itaendelea kukopa kwa kutumi lasrimali zake. Kumaliza umasikin itakua ni ndoto isiyofika asubuhi.
[emoji44][emoji44][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa sasa Tanzania haina Kiongozi wa Kuuondoa Umasikini uliowakomaa Watanzania ila una Viongozi Wanafiki na Mafisadi tupu.
Kuna unachokitafuta Kwangu endelea tu Mkuu sawa? Ila tusije Kulaumiana mbele ya Safari.Sawa "magenius" ni wachache na ni kweli hawapotezi muda baada ya CAPTIONS za magazeti....[emoji1787]
Je ni vipi kuhusu hadhira yetu isiyo ya kundi lako ?
Nasi tusizisome "contents" za magazeti kwani tunao muda wa kutosha? !!
Wewe ukiwa 'Unawekwa' huwa husifiwi?Leo kila mtu kakusifia nawe ukajiona bonge la mtu , "nyanoko veve naho"🤣🤣🤣
Nyerere kaifanyia Tanzania makubwa gani,kuwatia watu ufukara?!..hakujenga shule yoyote ya sekondari na kuifanya jamii kubwa ya tz kuwa mbumbumbuRais Samia afikia rekodi ya Mwalimu Nyerere
Yaani Mtu aliyeifanyia makubwa Tanzania na kuwa Statesman kwa miaka 23 leo hii anaweza Kufananishwa na Mtu aliyeingia tarehe 17 Machi, 2021 hadi leo tarehe 11 Oktoba, 2023?
Media ya Tanzania ni kwanini mnapenda sana Kudanganya, Kujipendekeza na kuendekeza Njaa namna hii?
Hivi ukiwa na Akili timamu unaweza Kufananisha Mafanikio makubwa na ya Kihistoria ya Mchezaji Hayati Pele na Mafanikio ya hivi karibuni ( ya muda mfupi ) ya Mchezaji Novatus Dismas na kusema kuwa kamfikia Nguli Pele?
Kumbe GENTAMYCINE ninapoidharau Media ya Tanzania huwa sikosei na huwa nipo sahihi 100%.
Hovyo kabisa......!!
View attachment 2778437
Kwani jirani, haukuji kuniwekea dhamana sentero...🙄Jirani shauri yako!
Mkeo wa humu atakuja 😀Kwani jirani, haukuji kuniwekea dhamana sentero...🙄
Mkeo wa humu atakuja 😀
Siku mimi nikiwa kiongozi alafu watu wanisifie ujinga hivo naweka jela hata siku mbili. Inakufanya uonekane fala fulani kupewa sifa za uongoAjabu zaidi; unaweza kukuta na yeye anaamini kabisa amevunja/kufikia rekodi ya Baba wa Taifa!
Akili za wanasiasa hizi kumwagilia mti wakati wa mvua.Ajabu zaidi; unaweza kukuta na yeye anaamini kabisa amevunja/kufikia rekodi ya Baba wa Taifa!
Usipokuwa fala hakuna wa kukuletea ufala.Siku mimi nikiwa kiongozi alafu watu wanisifie ujinga hivo naweka jela hata siku mbili. Inakufanya uonekane fala fulani kupewa sifa za uongo
''Give the people what they want''.... Huu ni msemo unaweza kutumika kwa Tanzania. Kwanza nchi nyingi zaimeshagundua udhaifu wa viongozi wetu... wanapenda kuitwa ma-dokta. Hivyo mama wetu wa kambo kapewa anachokipenda. Na sisi wananchi tunapenda habari za kijinga kijinga namna hii. Gazeti la majira linawapa watu kitu wanachotaka. Misukule hoyeee!Niko kwenye foleni Namanga, nimeona bango limeandikwa mama anatoa billion 100 kila mwezi kushusha bei ya mafuta, nimecheka sana!
Tz bwana!