Mhariri wa Gazeti la Majira umewaza nini hadi kuja na Kichwa cha hovyo hiki cha Habari leo?

Huenda na yeye alikuwemo ndani ya ndege, hebu nenda ofisini kwake kawaulize kama yupo nchini.
Uko sahihi Mkuu huyo Mhariri nae yuko Ziarani huko yaani Kaambatana nae huko nchini India.

Huenda walitishwa kuwa kama Wasipompamba basi kila Mtu ( Mwandishi ) ajitegemee kwa Nauli ya Kurejea Tanzania la sivyo watarudi kwa Miguu from Bombay to Dar es Salaam hivyo wakaona Wajiongeze kwa Kujipendekeza huko Kishamba, Kiuwongo na Kipumbavu.
 
Rais Samia afikia rekodi ya Mwalimu Nyerere

Yaani Mtu aliyeifanyia makubwa Tanzania na kuwa Statesman kwa miaka 23 leo hii anaweza Kufananishwa na Mtu aliyeingia tarehe 17 Machi, 2021 hadi leo tarehe 11 Oktoba, 2023?

Media ya Tanzania ni kwanini mnapenda sana Kudanganya, Kujipendekeza na kuendekeza Njaa namna hii?

Hivi ukiwa na Akili timamu unaweza Kufananisha Mafanikio makubwa na ya Kihistoria ya Mchezaji Hayati Pele na Mafanikio ya hivi karibuni ( ya muda mfupi ) ya Mchezaji Novatus Dismas na kusema kuwa kamfikia Nguli Pele?

Kumbe GENTAMYCINE ninapoidharau Media ya Tanzania huwa sikosei na huwa nipo sahihi 100%.

Hovyo kabisa......!!
Mnamjua Naoe nyie?
Media zote wanaomba poo
 
Watakuja Viongozi labda vizazi vijavyo sio vya sasa Rais awe na kariba ya Mwalimu JK Nyerere...
Uwanja wa Sokoine uliandikwa hivi sasa hivi wamefuta wameweka maneno yao...
"NCHI HAIWEZI KUENDELEA KWA KUTEGEMEA MISAADA TOKA NCHI ZA NJE"JK NYERERE.
Nchi ngumu sana hii wanatoa misemo ya maana na kuweka itakayowafurahisha wao...
 
Uko sahihi Mkuu huyo Mhariri nae yuko Ziarani huko yaani Kaambatana nae huko nchini India.

Huenda walitishwa kuwa kama Wasipompamba basi kila Mtu ( Mwandishi ) ajitegemee kwa Nauli ya Kurejea Tanzania la sivyo watarudi kwa Miguu from Bombay to Dar es Salaam hivyo wakaona Wajiongeze kwa Kujipendekeza huko Kishamba, Kiuwongo na Kipumbavu.
Siku zote mwandishi akigharamiwa na "subject" lazima ampambe kwa hali na mali, nakumbuka kuna waandishi waliachwa mahali wakalalamika kuwa wao wanawapamba lakini wanaopambwa hawawajali!
 
Mbona hujatuambia ni rekodi gani mkuu?!!!

Wewe ni msomi wa SAUT unanishangaza kwa kusimamia pekee CAPTION ya gazeti na si CONTENTS yake [emoji1787]
 
Rais Samia afikia rekodi ya Mwalimu Nyerere

Yaani Mtu aliyeifanyia makubwa Tanzania na kuwa Statesman kwa miaka 23 leo hii anaweza Kufananishwa na Mtu aliyeingia tarehe 17 Machi, 2021 hadi leo tarehe 11 Oktoba, 2023?

Media ya Tanzania ni kwanini mnapenda sana Kudanganya, Kujipendekeza na kuendekeza Njaa namna hii?

Hivi ukiwa na Akili timamu unaweza Kufananisha Mafanikio makubwa na ya Kihistoria ya Mchezaji Hayati Pele na Mafanikio ya hivi karibuni ( ya muda mfupi ) ya Mchezaji Novatus Dismas na kusema kuwa kamfikia Nguli Pele?

Kumbe GENTAMYCINE ninapoidharau Media ya Tanzania huwa sikosei na huwa nipo sahihi 100%.

Hovyo kabisa......!!

View attachment 2778437
Ma editor vibwengo ndio hao, ni aibu kufananisha vimtu na mtu
 
Gentamicin usiwalaumu waandishi baba. Njaaa kali bila ivyo ivyo watoto walishapatwa na kwashiorkor na wanaelekea kufa bila kuandika ivyo wanakufa na njaaa
 
Tunazingatia maokoto!
 
Uchawa,kusifiasifia tu,kulamba viatu
Ndiyo wabongo walipofikia sahvi unafki unafki tu

Ova
 
Ma editor vibwengo ndio hao, ni aibu kufananisha vimtu na mtu
[emoji44][emoji44][emoji44]
Kwani habari ya ndani ya gazeti la Majira imewafananishaje hawa Marais wawili ? !!![emoji1787]

Nipe kidogo faida kwani kichwa cha habari pekee hakijanitosheleza....
 
Huwa nahusudu sana nyuzi zako ila kwa huu uzi umeteleza!
Rekodi aliyoifikia hujaitaja ili tuipime ni kweli ama si kweli.
Nyerere alitunukiwa PhD huko lndia na huyu kafanyiwa hivyo hivyo je hii yaweza kuwa ndiyo Majira waisemayo?
Sijalisoma gazeti.
Huyu hata angepewa PhD hafai hata kumfananisha na DC wa Hai Aliye pita.
 
Umelisoma hilo gazeti ?!!

Ndani yake limewafananishaje marais wetu hao ?!
 
Gentamicin usiwalaumu waandishi baba. Njaaa kali bila ivyo ivyo watoto walishapatwa na kwashiorkor na wanaelekea kufa bila kuandika ivyo wanakufa na njaaa
Unawahukumu vibaya kwa kichwa cha habari tu ?!! [emoji44][emoji1787]
 
Back
Top Bottom