GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Uko sahihi Mkuu huyo Mhariri nae yuko Ziarani huko yaani Kaambatana nae huko nchini India.Huenda na yeye alikuwemo ndani ya ndege, hebu nenda ofisini kwake kawaulize kama yupo nchini.
Huenda walitishwa kuwa kama Wasipompamba basi kila Mtu ( Mwandishi ) ajitegemee kwa Nauli ya Kurejea Tanzania la sivyo watarudi kwa Miguu from Bombay to Dar es Salaam hivyo wakaona Wajiongeze kwa Kujipendekeza huko Kishamba, Kiuwongo na Kipumbavu.