Mhashamu Almachius Rweyongeza apigilia msumari zaidi kwenye waraka wa TEC

Mhashamu Almachius Vicent Rweyongeza, Askofu wa jimbo katoliki la Kayanga, Karagwe, Kagera amesema "Chaguzi zilizopita zilikua zinakasoro wengi mlipokea Rushwa na mkasimamia hovyohovyo, Bunge likajaa hao wabunge ambao wameanza kubadili sheria ili ziwalinde"

Msikilize kwa dakika 8 akitema madini ikiwemo kukemea vyumbo vya habari vikubwa kutokuripoti kabisa au juujuu waraka wa TEC.

View attachment 2723765
Kampeni za kidini zimeanza 100%, hawa watu hatari nchi hii wadhibitiwe na hasa hawa wenye majina ya kirundi ni shida hii iko katika damu zao fujo wanataka kutuhamishia kwetu. Nyinyi si wakubwa sasa mnalia na vyombo vya habari. Ya uchaguzi mbona hukusema huko nyuma kwa JPM nyoko wewe mrundi.
 
Siku hizi Tanganyika hakuna tena magazeti, hata yale niliyokuwa nikiyaamini sasa nimegundua hayana maana kabisa.

Ajabu ile kauli ya jana ya kijinga ya JK imeripotiwa na magazeti yote, hapo ndipo utaona hawa wahariri wa siku hizi ni wapuuzi watupu.

Sioni sababu tena ya mtu anayejitambua kununua magazeti nchi hii, vyema waachwe wahariri wayasome na wafanyakazi wao.
Kama wao wamegoma, hivi kwanini na sisi wanunuzi wa magazeti na viewers wa TV tusigome.. Angalau kwa siku mbili tu ili wajue kila mtu anamtegemea mwenzie... Hasara watakao omota ndio wajue serikali haina msaada kwao zaidi ya kuwatumia
 
Mhashamu Almachius Vicent Rweyongeza, Askofu wa jimbo katoliki la Kayanga, Karagwe, Kagera amesema "Chaguzi zilizopita zilikua zinakasoro wengi mlipokea Rushwa na mkasimamia hovyohovyo, Bunge likajaa hao wabunge ambao wameanza kubadili sheria ili ziwalinde"

Msikilize kwa dakika 8 akitema madini ikiwemo kukemea vyumbo vya habari vikubwa kutokuripoti kabisa au juujuu waraka wa TEC.

View attachment 2723765
Naona JF imepigiwa makofi kwa kusimamia ukweli unlike mainstream media zilizojaa unafiki na kujikomba.

Long live JamiiForums
 
Mhashamu Almachius Vicent Rweyongeza, Askofu wa jimbo katoliki la Kayanga, Karagwe, Kagera amesema "Chaguzi zilizopita zilikua zinakasoro wengi mlipokea Rushwa na mkasimamia hovyohovyo, Bunge likajaa hao wabunge ambao wameanza kubadili sheria ili ziwalinde"

Msikilize kwa dakika 8 akitema madini ikiwemo kukemea vyumbo vya habari vikubwa kutokuripoti kabisa au juujuu waraka wa TEC.

View attachment 2723765
Kiukweli Huyu na Askofu au ni Terror. Kwanini anawashawishi Watu Wafe, Wauane, na Anatukana kwenye Madhahabu ya Mungu.

Kwa cc tunaijua Imani ni kwamba Mungu ni Pendo na anawapenda Watu Sasa huyu ni Dini gani. Kwa Ninachokiona Ushauri ni Kwamba labda waseme kama wameshindwa kuelewana na hao DP World lakini kwa aina ya Tamko as a Christian nimefedhehshwa. Na Huyu Padre nasikia ni Uzao wa waliosababisha Mauaji kule kwa KGM. Namuomba Mungu amfahamishe kuwa Tanzania hizo mambo hazitokuja kutokea na ashindwe kwa Jina la Yesu aliye hai. Amevuka Mipaka hata kama Ulitaka Wakatoliki ndiyo Wachukue huo Mkataba siyo njia Sahihi kwa aina ya Kauli aliyoitoa.

Na ningekuwa Rais sidhani kama Mbwea kama huyu angekuwepo nchini ningemrudisha kwao walikofukuzwa kutokana na Mauaji ya Kimbari. Jamii Forums hii crip walitakiwa wawe wameiondoa kabisaaa
 
Chaguzi zilizopita zilikua zinakasoro wengi mlipokea Rushwa na mkasimamia hovyohovyo, Bunge likajaa hao wabunge ambao wameanza kubadili sheria ili ziwalinde"[emoji419][emoji375]
Wakati hayo yanatokea wao walikua wapi?! Waongozee kondoo waliopotea na si kingne
 
Kiukweli Huyu na Askofu au ni Terror. Kwanini anawashawishi Watu Wafe, Wauane, na Anatukana kwenye Madhahabu ya Mungu.
Kwa cc tunaijua Imani ni kwamba Mungu ni Pendo na anawapenda Watu Sasa huyu ni Dini gani. Kwa Ninachokiona Ushauri ni Kwamba labda waseme kama wameshindwa kuelewana na hao DP World lakini kwa aina ya Tamko as a Christian nimefedhehshwa. Na Huyu Padre nasikia ni Uzao wa waliosababisha Mauaji kule kwa KGM. Namuomba Mungu amfahamishe kuwa Tanzania hizo mambo hazitokuja kutokea na ashindwe kwa Jina la Yesu aliye hai. Amevuka Mipaka hata kama Ulitaka Wakatoliki ndiyo Wachukue huo Mkataba siyo njia Sahihi kwa aina ya Kauli aliyoitoa.
Na ningekuwa Rais sidhani kama Mbwea kama huyu angekuwepo nchini ningemrudisha kwao walikofukuzwa kutokana na Mauaji ya Kimbari. Jamii Forum hii crip walitakiwa wawe wameiondoa kabisaaa
Account maalamu hii
 
Siku hizi Tanganyika hakuna tena magazeti, hata yale niliyokuwa nikiyaamini sasa nimegundua hayana maana kabisa.

Ajabu ile kauli ya jana ya kijinga ya JK imeripotiwa na magazeti yote, hapo ndipo utaona hawa wahariri wa siku hizi ni wapuuzi watupu.

Sioni sababu tena ya mtu anayejitambua kununua magazeti nchi hii, vyema waachwe wahariri wayasome na wafanyakazi wao.
Niliacha kununua gazeti nchi hii tanga 2016 baada ya magu kuingia madarkani unanua gazeti useme nini .bora kusoma vichekesho jarida la sani
 
Siku hizi Tanganyika hakuna tena magazeti, hata yale niliyokuwa nikiyaamini sasa nimegundua hayana maana kabisa.

Ajabu ile kauli ya jana ya kijinga ya JK imeripotiwa na magazeti yote, hapo ndipo utaona hawa wahariri wa siku hizi ni wapuuzi watupu.

Sioni sababu tena ya mtu anayejitambua kununua magazeti nchi hii, vyema waachwe wahariri wayasome na wafanyakazi wao.
Kuliko kununua gazeti bora kununua mb ili upate habari sahihi
 
Na pia tusisahau hoja zilizo kiini cha haya yote...

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Haya maswali yajibiwe kabla sijaanza kujadili hili jambo kwa lugha zisizofaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi Tanganyika hakuna tena magazeti, hata yale niliyokuwa nikiyaamini sasa nimegundua hayana maana kabisa.

Ajabu ile kauli ya jana ya kijinga ya JK imeripotiwa na magazeti yote, hapo ndipo utaona hawa wahariri wa siku hizi ni wapuuzi watupu.

Sioni sababu tena ya mtu anayejitambua kununua magazeti nchi hii, vyema waachwe wahariri wayasome na wafanyakazi wao.
hakuna media Tanzania kwa sasa, wameendekeza njaa, wakauza utu wao. Nina miongo kadhaa sijanunua gazeti, halipo. naona hata kufungia vitumbua halifai
 
Back
Top Bottom