sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Magazeti ni ya wastaafu na wazeeKuliko kununua gazeti bora kununua mb ili upate habari sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magazeti ni ya wastaafu na wazeeKuliko kununua gazeti bora kununua mb ili upate habari sahihi
Nchi hii tuna kazi kubwa sana,haya yote yanayotokea leo hii tumeyalea huko nyuma aidha kwa kutosema kabisa ukweli na kuogopa na badala yake Taifa linaanguka sasa,Akaja mtu akaingiza CCM wote bungeni 2020 badala ya kumkemea kwa macho makavu tukamuogopa sasa hapa ndipo alipotufikisha,Bungeni kila kitu kinapitishwa hovyo hovyo tu bila kujali madhara yoyote na wanaopitisha ujinga kama huu wa mikataba kama hii wapo wabunge waislamu na wakristu.Hii ni nchi ILIYOJAA UNAFIKI ULIOTAMALAKI NA UTAPONZA TAIFA.Siku hizi Tanganyika hakuna tena magazeti, hata yale niliyokuwa nikiyaamini sasa nimegundua hayana maana kabisa.
Ajabu ile kauli ya jana ya kijinga ya JK imeripotiwa na magazeti yote, hapo ndipo utaona hawa wahariri wa siku hizi ni wapuuzi watupu.
Sioni sababu tena ya mtu anayejitambua kununua magazeti nchi hii, vyema waachwe wahariri wayasome na wafanyakazi wao.
Upuuzi wa CCM ni wa level ya phdAjabu ile kauli ya jana ya kijinga ya JK imeripotiwa na magazeti yote, hapo ndipo utaona hawa wahariri wa siku hizi ni wapuuzi watupu.
Mhutu anayetetea rasilimali za Tanganyika ni bora kuliko wewe unatetea maslahi ya mwarabu kwasababu ya dini.Nchi ina vituko hii sasa huyu Muhutu naye anasema nini.