mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,400
- 3,853
Sinunuagi gazeti hata, naingia zangu JF nashiba habari. Watsap nako npata nyingi tu, Fb nk. Buku inanipa habari nitkazo.Siku hizi Tanganyika hakuna tena magazeti, hata yale niliyokuwa nikiyaamini sasa nimegundua hayana maana kabisa.
Ajabu ile kauli ya jana ya kijinga ya JK imeripotiwa na magazeti yote, hapo ndipo utaona hawa wahariri wa siku hizi ni wapuuzi watupu.
Sioni sababu tena ya mtu anayejitambua kununua magazeti nchi hii, vyema waachwe wahariri wayasome na wafanyakazi wao.