Mhashamu Almachius Rweyongeza apigilia msumari zaidi kwenye waraka wa TEC

Sinunuagi gazeti hata, naingia zangu JF nashiba habari. Watsap nako npata nyingi tu, Fb nk. Buku inanipa habari nitkazo.
 
Kwamba Rais mstaafu Kikwete katoa kauli ya kijinga kuwaasa Watanzania wasichanganye mambo ya siasa na dini?

Unajua madhara ya kuingiza siasa kwenye dini wewe?

Ukiwa na chuki iliyopitiliza kila kitu utakiona hakifai hata kama kina maslahi kwa wengi.
 
Tulikubaliana kwamba Roma ikisema ndo imemaliza sasa matamko yamekuwa meeeeengi cha maana hakuna.

Hii nchi hakuna cha Roma wala mdogo wake Roma. Serikali ikiamua kufanya yake hakuna mbwa wa kutoa pua yake kuandamana.

Mwabukusi amejifanya kutetea wananchi lakini alipopewa kesi ya uhaini hakuna aliyejitokeza kumtetea kila mtu ameufyata mkia.
 
Uhaini una dhamana..... mwabukusi 3- wenye dola 0
 
Kiwete naye ajitathimini sana , Watanzania tunamtazama Kwa jicho la tatu tena lililojaa uchungu juu ya Ufisadi wake .
 
Msgazeti ya siku hizi, ni bora na toilet paper. Yaani nitupe pesa yangu kununua gazeti.
 
Nchi ina vituko hii sasa huyu Muhutu naye anasema nini.

Kumbe nchi hii ina mabwege sana. Wewe ni bwege tena mwenye akili taahira. Kuwa muhutu au mnyamwezi au wewe ambaye umetukuka kuna uhusiano gani na kusema ukweli? Jitafakari maana u mgonjwa wa akili. Wewe kama siyo muhutu, una kitu gani zaidi ya muhutu? Bwege mpumbavu kabisa.
 
Kwa mnao kumbuka mwaka 1995 RC waliisaidia sana CCM hasa kipitia semina mbalimbali. Hawa CCM wasipokuwa makini 2025 wanaweza kuondolewa madarakani au kusababisha machafuko makubwa hapa nchini. RC ni taasisi kubwa haifai kujibiwa kienyeji kama Kikwete na Samia walivyofanya. Waraka tu umesoma mambo yamekuwa hivi, je wakianza kutoa semina? Hii issue ya bandari mtu akiamua kuwalisha matangapori Wakrisro au kueneza tu uzushi CCM wataondoka. Ni vema wakaachana na hili jambo kabla hawajashelewa.
 
Chaguzi zilizopita zilikua zinakasoro wengi mlipokea Rushwa na mkasimamia hovyohovyo, Bunge likajaa hao wabunge ambao wameanza kubadili sheria ili ziwalinde"[emoji419][emoji375]
Kiukweli nimemkubali sana huyu Askofu. Kwa sasa wananchi tunapaswa kuwa na akili sana. Kwani lazima tuichague hii CCM miaka yote??

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…