Mhashamu Almachius Rweyongeza apigilia msumari zaidi kwenye waraka wa TEC

Nchi hii tuna kazi kubwa sana,haya yote yanayotokea leo hii tumeyalea huko nyuma aidha kwa kutosema kabisa ukweli na kuogopa na badala yake Taifa linaanguka sasa,Akaja mtu akaingiza CCM wote bungeni 2020 badala ya kumkemea kwa macho makavu tukamuogopa sasa hapa ndipo alipotufikisha,Bungeni kila kitu kinapitishwa hovyo hovyo tu bila kujali madhara yoyote na wanaopitisha ujinga kama huu wa mikataba kama hii wapo wabunge waislamu na wakristu.Hii ni nchi ILIYOJAA UNAFIKI ULIOTAMALAKI NA UTAPONZA TAIFA.
 
Mikataba ya kinyonyaji kama DPW Magufuli hakutaka kuisikikia ninakukumbuka mwamba Jpm
 
Nchi ina vituko hii sasa huyu Muhutu naye anasema nini.
Mhutu anayetetea rasilimali za Tanganyika ni bora kuliko wewe unatetea maslahi ya mwarabu kwasababu ya dini.

Bandari ni uchumi ukitazama kwa jicho la kengeza utajikuta unashabikia ukoloni wa waarabu dhidi ya uhuru wa Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…