Tetesi: Mhe. Lissu kukamatwa airport pindi atapowasili

Status
Not open for further replies.
Hebu rudia kusoma ulichoandika we nguruwe wa lumumba
Mpuuzi kweli ww, kwani lazima utukane ng'ombe ww na fisi maji mkubwa weπŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚!
 
Lisu 15:5-8 Nami nasema eeh jiwe kwa kuwa umeshupaza shingo hata hausikii!Nami ntamleta mwewe akudonoe macho yako usione nuru tena kwa kuwa umemwaga damu ya watakatifu wangu wa tanzania!umefanya maisha yao kuwa kongwa la utumwa wanalia na kusaga meno hadi sasa!Nami ntamtuma Beberu aimwage damu yako hadi kisiwa cha Rubondo ndipo tutakapotambua yupo atawalaye na CHADEMA ni pendezo machoni pangu tena ni uposo wa ujana wangu anapendeza na ikulu ntamwingiza!Asema Mimi Lisu nisiekufa kwa risasi za hila za ufalme wako uliofitinika!!!
 
Mmmmm, ama kweli maendeleo yana vyama.
 
Hivi ameshakamatwa? Maana kwa muda huu atakuwa ameshafika. Ila nimeona picha Airport imejaa wafuasi wengi mno. Hakika kuna watu wapenda Siasa. Nilifikiri na maombolezo haya hao wanachadema wasingejitokeza. Nyomi ninayoiona ni kubwa sana ukiachia ambao hawakwenda kwa kuogopa mambo mengi. Uhai ni hazina kupita hazina zote.
 
Kuleo mumeshushuka.. πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½

Muendelee kulia.. mupokee na hizi πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
pamoja na masasi yote aliyopigwa bado mnataka kumkamata?
Mwogopeni Mungu enyi watu kwani mnayofanya ni machukizo mabaya sana Mungu.
 
vp hicho chanzo chako bado ni cha kuaminika? poleni sana ngur.u.w.e wa lumumba
 
Subira vipi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…