Mhe. Mbowe, hongera sana. You are the best; ila acha uongo, uzushi na uchochezi. Kati yako na serikali nani mkweli? Vifo ni 16 tu

Mkuu, i was told you are a lawyer, some one with necessary skills to comprehend, analyse and defend issues ,but i am so disappointed. Uzi wako ni reflection of what you are, a boot licker, unainajisi legal profession na kuwa mfano wa watu waliosoma wakashindwa kuelimika.

Wewe haufanani na mtu anaye jenga hoja kwamba serikali ndiyo ya kuaminiwa zaidi na kwamba matamko ya viongozi ndiyo ukweli? Mkuu, hapa unainyanyua serikali na kuipa nguvu za ki-Mungu, kwamba watu wasihoji ukweli na usahihi wa taarifa zake, kweli? Hivi ndivyo vijana wetu wamefundishwa namna ya kutafakari?

Serikali inaweza ikawa sahihi au isiwe sahihi lakini kama inafanya jambo kwa maslahi ya umma wananchi baada ya kuelimishwa wataielewa. Katika jambo hili la corona viongozi wa upinzani hawaoni serikali ikijipambanua na kuchukua hatua ambazo jamii inatarajia. Ni haki yao ya kikatiba kuhoji na kupata majibu.

Ikumbukwe kwamba serikali imewekwa na wananchi na inatumia pesa za wananchi kuendesha shughuli zake, hivyo ni haki ya wananchi kuhoji na huu ni moja ya msingi wa utawala bora.

Namalizia kwa nasihi zifuatazo:

1. Kwenye ukweli uongo hujitenga; na
2. Ukweli utakuweka huru.
 
Ok basi nategemea mheshimiwa raisi ataenda wiki hii bungeni kuhutubia kuhusu janga la corona
 
Nashauri arudi kwenye vyuo alivyo soma kudai ada aliyo lipa sababu hakupata elimu aliyostahili.
 
Yaani Mayala ulivyomchongea Kabendera haitoshi sasa unataka uamie kwa Mbowe?
Hatujasahau lakini jinsi ulivyomchongea kabendera hadi kufikia hatua ya kuhojiwa uraia hadi kubabikiwa kesi ya uhujumu uchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Paskali hana lolote saizi anaamia kumchonganisha Mbowe na mamlaka.
Lakini kuna bandiko alisema kbsa kua yeye ni CCM na anataka kugombea ubunge, ndo mana anaongea ka si mwandishi ila ka Mwanasiasa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini kabla ya mauti si walikuwa wakiishi maisha ya kawaida wakiwa na magonjwa yao yasiyoambukiza?? Kwamaana nyingine corona ndiyo iliyokata uzi na siyo hayo maradhi mengine uliotaja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe usie na zero,umefanya nini?
Duniani jambo rahisi kuliko yote ni kukosoa.Siyo ajabu kumuona mtu anamkosoa mchezaji kama Mesi na kumtaka akachezee uingereza ili athibitishe uwezo wake.

Nahisi hata wewe ndio wale wale wasomi wa madesa
Pasco hivi ulitegemea mtu aliyepata zero shuleni aongee nini cha maana tena kwa ishu ya kisayansi kama hii

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hauniangushagi babangu, itakua ana chuki na upendo wa serikali kwa watu wake... eti alibisha mpaka idadi ya waliopona kwa mujibu wa vyanzo binafsi vya Raisi, huu ni uchonganishi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi siwezi kukusikiliza huko Star TV, unamaslahi binafsi. Unatafuta kuteuliwa.
 

Wagojwa wengi hasa wazee wanakufa na corona lakini hata familia nyingine hawajui mpaka mwisho. Kitu ambacho nitakuhakikishia kaangalie data za mwezi wa nne mwaka jana na mwezi wa nne mwaka huu uone Hospital za Dar watu wangapi walikufa utashangaa mwaka huu wamekufa watu wengi sana na tutaendelea kusikia wazee wengi wakiondoka.

Tatizo kubwa ni vifaa mfano rafiki yangu alikosa tank la oxygen wametafuta masaa mengi sana bila mafanikio serikali iwe wazi ili kama vifaa ni tatizo tujue ni vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…