Mhe. Mbowe, hongera sana. You are the best; ila acha uongo, uzushi na uchochezi. Kati yako na serikali nani mkweli? Vifo ni 16 tu

Mkuu, i was told you are a lawyer, some one with necessary skills to comprehend, analyse and defend issues ,but i am so disappointed. Uzi wako ni reflection of what you are, a boot licker, unainajisi legal profession na kuwa mfano wa watu waliosoma wakashindwa kuelimika.

Wewe haufanani na mtu anaye jenga hoja kwamba serikali ndiyo ya kuaminiwa zaidi na kwamba matamko ya viongozi ndiyo ukweli? Mkuu, hapa unainyanyua serikali na kuipa nguvu za ki-Mungu, kwamba watu wasihoji ukweli na usahihi wa taarifa zake, kweli? Hivi ndivyo vijana wetu wamefundishwa namna ya kutafakari?

Serikali inaweza ikawa sahihi au isiwe sahihi lakini kama inafanya jambo kwa maslahi ya umma wananchi baada ya kuelimishwa wataielewa. Katika jambo hili la corona viongozi wa upinzani hawaoni serikali ikijipambanua na kuchukua hatua ambazo jamii inatarajia. Ni haki yao ya kikatiba kuhoji na kupata majibu.

Ikumbukwe kwamba serikali imewekwa na wananchi na inatumia pesa za wananchi kuendesha shughuli zake, hivyo ni haki ya wananchi kuhoji na huu ni moja ya msingi wa utawala bora.

Namalizia kwa nasihi zifuatazo:

1. Kwenye ukweli uongo hujitenga; na
2. Ukweli utakuweka huru.
 
Wanabodi,

Miongoni mwa udhaifu mkubwa kabisa wa mainstream media zetu zote za Tanzania, si TV, Redio, wala Magazeti, hatuna kitu kinachoitwa "News Analysis", yaani uchambuzi wa habari, viongozi wetu wakihutubia, media inaripoti wamesema nini, the story ends there! Hakuna any news analysis ya kuchambua alichokisema kiongozi huyo wala what does it mean, the impact ya kilichozungumzwa, na the consequences. Kazi za media zetu ni kuripoti tu kama kasuku. Angalau sisi JF, ndio angalau tunafanya uchambuzi, alichofanya Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe, ni a very good piece of news analysis ya hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa Ikulu ya Chato na update ya Corona iliyotolewa na Waziri Mkuu.

Mnyonge, mnyongeni, haki yake mpeni. Tangu kuingia kwa janga hili la Corona, sio tu hakuna kiongozi yoyote amewahi kuizungumzia Corona vizuri na kwa ufasaha kama Mhe. Freeman Mbowe, bali pia tangu nimemfahamu Mbowe na kumsikia, hajawahi kuzungumza vizuri hivi hata mara moja. Freeman, you are the best, hongera sana!

Ila sehemu moja tu ndiyo Mbowe ameharibu, kwenye idadi ya vifo vya Corona. Serikali ilishatoa waraka kuwa wasemaji wa update ya Corona kwa Tanzania ni watu 5 tu. Rais, Makamo, Waziri Mkuu na Waziri wa Afya -- then update ya Corona itatolewa na serikali tu. Sasa kama Waziri Mkuu kasema vifo vya Corona ni 16 tu, then huu ndiyo ukweli. Tanzania watu waliokufa kwa Corona mpaka sasa ninapoandika hapa, ni watu 16 tu na huu ndio ukweli wenyewe.

Kitendo cha kumuita Waziri Mkuu wa JMT kuwa ni muongo na serikali inaficha data za vifo vya Corona, huu ni uongo na uchochezi.

Kati ya Mhe. Mbowe na Waziri Mkuu wa JMT, nani ni mkweli na nani ni muongo? Watanzania wamwamini nani kati ya Waziri Mkuu wa JMT na Waziri Mkuu kivuli?

Kama serikali imesema vifo ni 16 tu, then vifo ni 16, hata kama umeshuhudia watu 100 wakizikwa na serikali kwa mazishi ya kuhudhuriwa na watu kumi tu. Ukweli wa idadi ya vifo vya Corona ni vifo 16 tu kwasababu sio kila anayekufa amekufa kwa Corona. Hata kama hao wengine wote nao pia walionesha dalili kama za Corona, mamlaka pekee inayojua mgonjwa kafa na nini, ni madaktari tu. Na kwenye case ya Corona, waliokufa kwa Corona ni watu 16 tu, hawa wengine wote wanaokufa kwa matatizo ya kupumua, hayo ni matatizo yao tu, na pia wagonjwa wa magonjwa mengine pia wanaendelea kufa, ili kuzuia mikusanyiko katika misiba, serikali imeamua kuwakinga watu wake kwa kujitolea kuwasaidia Watanzania wengine wote kwa upendo kwa kuwazikia ndugu na wapendwa wao.

Hivyo Mhe. Mbowe, asante kwa kuongea vizuri ila uache uongo na uchochezi kuisingizia serikali yetu inaficha kitu, serikali yetu ni wakweli, hawafichi kitu, waliokufa kwa Corona mpaka sasa ni hao 16 tu, na huo ndio ukweli wetu, tena ni afadhali ya sisi tumetangaza ukweli wa wote waliokufa kwa Corona nchini kwetu ni hao 16 tu; je, ungekuwa unaishi Rwanda na Uganda, kule hakuna hata mmoja aliyekufa, ungesemaje?

Watanzania wenzangu ambao ni wazalendo, naombeni tuendelee kuiaminia serikali yetu kuwa inasema ukweli wote kuhusu Corona, tusiwasikilize, waongo, wazushi, wachochezi na wachonganishi wanaotaka kuichonganisha serikali na wananchi, kwa kuwadanganya kila anayekufa, amekufa kwa Corona, japo ni kweli vifo vya ghafla vimeongezeka, ila siyo vifo vyote ni Corona. Vifo vingine ni magonjwa mengine ukiwemo matatizo ya kupumua.

Tena katika kusisitiza uzalendo, nitawaomba kuanzia saa 1:30 asubuhi nitakuwa live Star TV mgeni wangu akiwa ni Deodatus Balile wa gazeti la Jamhuri, tutasisitiza uzalendo na kuiaminia serikali na sio kuwaaminia wazushi.

Paskali
Ok basi nategemea mheshimiwa raisi ataenda wiki hii bungeni kuhutubia kuhusu janga la corona
 
Mkuu, i was told you are a lawyer, some one with necessary skills to comprehend, analyse and defend issues ,but i am so disappointed. Uzi wako ni reflection of what you are, a boot licker, unainajisi legal profession na kuwa mfano wa watu waliosoma wakashindwa kuelimika

Namalizia kwa nasihi zifuatazo:

1. Kwenye ukweli uongo hujitenga; na
2. Ukweli utakuweka huru.
Nashauri arudi kwenye vyuo alivyo soma kudai ada aliyo lipa sababu hakupata elimu aliyostahili.
 
Wanabodi,

Miongoni mwa udhaifu mkubwa kabisa wa mainstream media zetu zote za Tanzania, si TV, Redio, wala Magazeti, hatuna kitu kinachoitwa "News Analysis", yaani uchambuzi wa habari, viongozi wetu wakihutubia, media inaripoti wamesema nini, the story ends there! Hakuna any news analysis ya kuchambua alichokisema kiongozi huyo wala what does it mean, the impact ya kilichozungumzwa, na the consequences. Kazi za media zetu ni kuripoti tu kama kasuku. Angalau sisi JF, ndio angalau tunafanya uchambuzi, alichofanya Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe, ni a very good piece of news analysis ya hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa Ikulu ya Chato na update ya Corona iliyotolewa na Waziri Mkuu.

Mnyonge, mnyongeni, haki yake mpeni. Tangu kuingia kwa janga hili la Corona, sio tu hakuna kiongozi yoyote amewahi kuizungumzia Corona vizuri na kwa ufasaha kama Mhe. Freeman Mbowe, bali pia tangu nimemfahamu Mbowe na kumsikia, hajawahi kuzungumza vizuri hivi hata mara moja. Freeman, you are the best, hongera sana!

Ila sehemu moja tu ndiyo Mbowe ameharibu, kwenye idadi ya vifo vya Corona. Serikali ilishatoa waraka kuwa wasemaji wa update ya Corona kwa Tanzania ni watu 5 tu. Rais, Makamo, Waziri Mkuu na Waziri wa Afya -- then update ya Corona itatolewa na serikali tu. Sasa kama Waziri Mkuu kasema vifo vya Corona ni 16 tu, then huu ndiyo ukweli. Tanzania watu waliokufa kwa Corona mpaka sasa ninapoandika hapa, ni watu 16 tu na huu ndio ukweli wenyewe.

Kitendo cha kumuita Waziri Mkuu wa JMT kuwa ni muongo na serikali inaficha data za vifo vya Corona, huu ni uongo na uchochezi.

Kati ya Mhe. Mbowe na Waziri Mkuu wa JMT, nani ni mkweli na nani ni muongo? Watanzania wamwamini nani kati ya Waziri Mkuu wa JMT na Waziri Mkuu kivuli?

Kama serikali imesema vifo ni 16 tu, then vifo ni 16, hata kama umeshuhudia watu 100 wakizikwa na serikali kwa mazishi ya kuhudhuriwa na watu kumi tu. Ukweli wa idadi ya vifo vya Corona ni vifo 16 tu kwasababu sio kila anayekufa amekufa kwa Corona. Hata kama hao wengine wote nao pia walionesha dalili kama za Corona, mamlaka pekee inayojua mgonjwa kafa na nini, ni madaktari tu. Na kwenye case ya Corona, waliokufa kwa Corona ni watu 16 tu, hawa wengine wote wanaokufa kwa matatizo ya kupumua, hayo ni matatizo yao tu, na pia wagonjwa wa magonjwa mengine pia wanaendelea kufa, ili kuzuia mikusanyiko katika misiba, serikali imeamua kuwakinga watu wake kwa kujitolea kuwasaidia Watanzania wengine wote kwa upendo kwa kuwazikia ndugu na wapendwa wao.

Hivyo Mhe. Mbowe, asante kwa kuongea vizuri ila uache uongo na uchochezi kuisingizia serikali yetu inaficha kitu, serikali yetu ni wakweli, hawafichi kitu, waliokufa kwa Corona mpaka sasa ni hao 16 tu, na huo ndio ukweli wetu, tena ni afadhali ya sisi tumetangaza ukweli wa wote waliokufa kwa Corona nchini kwetu ni hao 16 tu; je, ungekuwa unaishi Rwanda na Uganda, kule hakuna hata mmoja aliyekufa, ungesemaje?

Watanzania wenzangu ambao ni wazalendo, naombeni tuendelee kuiaminia serikali yetu kuwa inasema ukweli wote kuhusu Corona, tusiwasikilize, waongo, wazushi, wachochezi na wachonganishi wanaotaka kuichonganisha serikali na wananchi, kwa kuwadanganya kila anayekufa, amekufa kwa Corona, japo ni kweli vifo vya ghafla vimeongezeka, ila siyo vifo vyote ni Corona. Vifo vingine ni magonjwa mengine ukiwemo matatizo ya kupumua.

Tena katika kusisitiza uzalendo, nitawaomba kuanzia saa 1:30 asubuhi nitakuwa live Star TV mgeni wangu akiwa ni Deodatus Balile wa gazeti la Jamhuri, tutasisitiza uzalendo na kuiaminia serikali na sio kuwaaminia wazushi.

Paskali
Yaani Mayala ulivyomchongea Kabendera haitoshi sasa unataka uamie kwa Mbowe?
Hatujasahau lakini jinsi ulivyomchongea kabendera hadi kufikia hatua ya kuhojiwa uraia hadi kubabikiwa kesi ya uhujumu uchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Pascal Mayalla hongera kwa bandiko zuri sana ILA niseme ungaliweza kumweleza kwa lugha ya KIUNGWANA Ndg Mbowe njia (lugha) ya KIUNGWANA ambayo angeweza kufikisha ujumbe wake kwa serikali sikivu ya JPM. Mkuu Pascal Mayalla kwa wewe kutumia lugha zile zile za karaha za Mbowe hujatoa somo lolote jema kwa waandishi wachanga. Mkuu Pascal Mayalla hebu niambie matumizi yako ya maneno kama tuwadharau, tuwapuuze, tusiwasikilize wale ............... zinahimiza kweli umoja wetu wa kitaifa? Mkuu Pascal Mayalla hizi lugha za "Wao" na "sie" kwanini tusiwachie Ndg zetu polepole, Dr. Bashiri na wa upinzani kuzitumia katika majukwaa yao ILI tuweze kuwa na ujasiri wa kuwakosoa pale wanapokosea kama ilivyotokea kwa Ndg Mbowe hivi majuzi.

Tukutane Star TV hapo baadaye,nina heshima kubwa kwa Ndg Balile kwa jinsi anavyofanya uchambuzi wake.

Ahsante
Huyu Paskali hana lolote saizi anaamia kumchonganisha Mbowe na mamlaka.
Lakini kuna bandiko alisema kbsa kua yeye ni CCM na anataka kugombea ubunge, ndo mana anaongea ka si mwandishi ila ka Mwanasiasa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja.

Serikali naiomba itangaze waliokufa kwa corona wale ambao wamethibitika kuwa hawata ugonjwa wala tatizo lingine la kiafya zaidi ya corona.

Yani mtu kama akianguka ghafla puu akapimwa akaonekana ana presha,kisukari lakini pia ana corona alafu baadae akifa asitiwe kwenye idadi ya waliokufa na corona kabisa huyu.huyu kafa kwa magonjwa mengi asisingiziwe corona.huyu atiwe kwenye vifo vya kawaida na azikwe na dola kuepusha maambukizi kama inavyofanya.

Kumzika serilali na watu 10 haina maana kuwa kafa kwa corona,hiyo ina maanisha kuwa kafa kww magonjwa mengi ila tunazuia corona ambayo nayo ilikuemo isije kusambaa kwa wengine.

Mtu kama mzee pascall hapo au mimi ikiwa tunayo corona sasa alafu Mungu akituchukua ghafla alafu vipimo vyetu vikawa havina ushahidi wa magonjwa mengine yeyote zaidi ya corona,hapo sasa ni wakati Muafakawa kusema kuwa huyu sasa ndio kafa kwa corona.

Sio eti hata bodaboda akianguka na pikipiki akafa akafanyiwa vipimo akakutwa na corona ati useme corona imemuuwa,huyu kafa kwa ajali na sio vinginevyo.

Mtu ana presha ,mtu ana kisukari mtu ana ukimwi,alafu leo korona inamvaa nayo kesho hayupo unaanza oooh kafa kwa korona,mbona kisukari na presha hamuioni pale mwilini na alikuwa nayo bwwna.

Watu kufa na kuzikwa na serikali haina maana kuwa yote ni misiba ya corona,pengine wengi wao wana magonjwa mengine mengi lakini na hii pia walikuwa nayo kwa hiyo wanazika wenyewe kwa sababu alikuwa na corona na sio kwa sababu alikufa kwa corona..
Lakini kabla ya mauti si walikuwa wakiishi maisha ya kawaida wakiwa na magonjwa yao yasiyoambukiza?? Kwamaana nyingine corona ndiyo iliyokata uzi na siyo hayo maradhi mengine uliotaja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe usie na zero,umefanya nini?
Duniani jambo rahisi kuliko yote ni kukosoa.Siyo ajabu kumuona mtu anamkosoa mchezaji kama Mesi na kumtaka akachezee uingereza ili athibitishe uwezo wake.

Nahisi hata wewe ndio wale wale wasomi wa madesa
Pasco hivi ulitegemea mtu aliyepata zero shuleni aongee nini cha maana tena kwa ishu ya kisayansi kama hii

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hauniangushagi babangu, itakua ana chuki na upendo wa serikali kwa watu wake... eti alibisha mpaka idadi ya waliopona kwa mujibu wa vyanzo binafsi vya Raisi, huu ni uchonganishi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Miongoni mwa udhaifu mkubwa kabisa wa mainstream media zetu zote za Tanzania, si TV, Redio, wala Magazeti, hatuna kitu kinachoitwa "News Analysis", yaani uchambuzi wa habari, viongozi wetu wakihutubia, media inaripoti wamesema nini, the story ends there! Hakuna any news analysis ya kuchambua alichokisema kiongozi huyo wala what does it mean, the impact ya kilichozungumzwa, na the consequences. Kazi za media zetu ni kuripoti tu kama kasuku. Angalau sisi JF, ndio angalau tunafanya uchambuzi, alichofanya Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe, ni a very good piece of news analysis ya hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa Ikulu ya Chato na update ya Corona iliyotolewa na Waziri Mkuu.

Mnyonge, mnyongeni, haki yake mpeni. Tangu kuingia kwa janga hili la Corona, sio tu hakuna kiongozi yoyote amewahi kuizungumzia Corona vizuri na kwa ufasaha kama Mhe. Freeman Mbowe, bali pia tangu nimemfahamu Mbowe na kumsikia, hajawahi kuzungumza vizuri hivi hata mara moja. Freeman, you are the best, hongera sana!

Ila sehemu moja tu ndiyo Mbowe ameharibu, kwenye idadi ya vifo vya Corona. Serikali ilishatoa waraka kuwa wasemaji wa update ya Corona kwa Tanzania ni watu 5 tu. Rais, Makamo, Waziri Mkuu na Waziri wa Afya -- then update ya Corona itatolewa na serikali tu. Sasa kama Waziri Mkuu kasema vifo vya Corona ni 16 tu, then huu ndiyo ukweli. Tanzania watu waliokufa kwa Corona mpaka sasa ninapoandika hapa, ni watu 16 tu na huu ndio ukweli wenyewe.

Kitendo cha kumuita Waziri Mkuu wa JMT kuwa ni muongo na serikali inaficha data za vifo vya Corona, huu ni uongo na uchochezi.

Kati ya Mhe. Mbowe na Waziri Mkuu wa JMT, nani ni mkweli na nani ni muongo? Watanzania wamwamini nani kati ya Waziri Mkuu wa JMT na Waziri Mkuu kivuli?

Kama serikali imesema vifo ni 16 tu, then vifo ni 16, hata kama umeshuhudia watu 100 wakizikwa na serikali kwa mazishi ya kuhudhuriwa na watu kumi tu. Ukweli wa idadi ya vifo vya Corona ni vifo 16 tu kwasababu sio kila anayekufa amekufa kwa Corona. Hata kama hao wengine wote nao pia walionesha dalili kama za Corona, mamlaka pekee inayojua mgonjwa kafa na nini, ni madaktari tu. Na kwenye case ya Corona, waliokufa kwa Corona ni watu 16 tu, hawa wengine wote wanaokufa kwa matatizo ya kupumua, hayo ni matatizo yao tu, na pia wagonjwa wa magonjwa mengine pia wanaendelea kufa, ili kuzuia mikusanyiko katika misiba, serikali imeamua kuwakinga watu wake kwa kujitolea kuwasaidia Watanzania wengine wote kwa upendo kwa kuwazikia ndugu na wapendwa wao.

Hivyo Mhe. Mbowe, asante kwa kuongea vizuri ila uache uongo na uchochezi kuisingizia serikali yetu inaficha kitu, serikali yetu ni wakweli, hawafichi kitu, waliokufa kwa Corona mpaka sasa ni hao 16 tu, na huo ndio ukweli wetu, tena ni afadhali ya sisi tumetangaza ukweli wa wote waliokufa kwa Corona nchini kwetu ni hao 16 tu; je, ungekuwa unaishi Rwanda na Uganda, kule hakuna hata mmoja aliyekufa, ungesemaje?

Watanzania wenzangu ambao ni wazalendo, naombeni tuendelee kuiaminia serikali yetu kuwa inasema ukweli wote kuhusu Corona, tusiwasikilize, waongo, wazushi, wachochezi na wachonganishi wanaotaka kuichonganisha serikali na wananchi, kwa kuwadanganya kila anayekufa, amekufa kwa Corona, japo ni kweli vifo vya ghafla vimeongezeka, ila siyo vifo vyote ni Corona. Vifo vingine ni magonjwa mengine ukiwemo matatizo ya kupumua.

Tena katika kusisitiza uzalendo, nitawaomba kuanzia saa 1:30 asubuhi nitakuwa live Star TV mgeni wangu akiwa ni Deodatus Balile wa gazeti la Jamhuri, tutasisitiza uzalendo na kuiaminia serikali na sio kuwaaminia wazushi.

Paskali

Mimi siwezi kukusikiliza huko Star TV, unamaslahi binafsi. Unatafuta kuteuliwa.
 
Wagojwa wengi hasa wazee wanakufa na corona lakini hata familia nyingine hawajui mpaka mwisho. Kitu ambacho nitakuhakikishia kaangalie data za mwezi wa nne mwaka jana na mwezi wa nne mwaka huu uone Hospital za Dar watu wangapi walikufa utashangaa mwaka huu wamekufa watu wengi sana na tutaendelea kusikia wazee wengi wakiondoka.

Tatizo kubwa ni vifaa mfano rafiki yangu alikosa tank la oxygen wametafuta masaa mengi sana bila mafanikio serikali iwe wazi ili kama vifaa ni tatizo tujue ni vipi
 
Back
Top Bottom