Mhe. Mbowe, hongera sana. You are the best; ila acha uongo, uzushi na uchochezi. Kati yako na serikali nani mkweli? Vifo ni 16 tu

Mtaani kila anayesema watu wanakufa kwa wingi na kuzikwa usiku,ukimuuliza mtu umeona?anajibu ameambiwa na mtu wake wa karibu,unamuuliza tena labda umefiwa na ndugu au jirani au rafiki huko mikoani hakuna kitu!!! Sisi waTanzania tuna maneo ya uzushi sana bila ukweli wala uhakika wowote,ugonjwa umewekewa siasa na kutengeneza maneno mitandaoni kuweka taharuki kwa watu bila ukweli wowote,inawezekana watu wengine pia waliokua wakisafiri India au London kupigwa sindano na madawa ya gharama juu magonjwa ya moyo,damu na mengineyo wanakufa kwa sababu hakuna safari hizo tena.

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
 
Italia wana "kibibi kizee cha Turini" siye JF tuna "Kibibi kizee cha Kariakoo". Yaani kabakia kama ule msemo wa Kiswahili usemavyo "debe tupu haliishi kutika"!!

FaizaFoxy Aione kwenye jalada.
 

Hahaha wew nia yako ni kugombea ubunge sasa unadhani kuna kitu ambacho tunashangaa juu ya uandishi wako mana tunajua unaendeshwa na tamaa za madaraka na kujilimbikizia mali


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu you are blowing your trumpet too hard.
Wa kukusikia wangekuwa wamekusikia so far.

Nenda makaburi ya Kondo Bahari Beach ujionee mwenyewe.
Siye wengine tunaona kila siku for the past three weeks serikali ikifanya kazi yake kuzika wangonjwa walioshindikana kutibiwa.
 
Mkuu wenye akili wanakuelewa sana wewe ni fundi wa kula na kipofu. However, media haziwezi fanyia analysis issues ambazo hawatoi taarifa, na wakitoa taarifa wanachagua kisicho na maana au faida kwa jamii. Mfano, kuna media speech ya Mbowe yote wao wameamua kurusha kipande kidogo tu maendeleo ya mtoto wake wakati wa taarifa ya habari. Je, wafanye analysis ya maendeleo ya mtoto wa Mbowe?.

ZK alichambua report ya CAG hakuna tv iliyotoa taarifa zaidi online tv. Je, hizi media zinaweza fanya analysis ya taarifa ambazo hawarushi. Nyakati hizi hata wangerusha tu speech yote baada ya taarifa ya habari ingesaidia wananchi wenyewe wangechambu mbichi na mbivu.
 
Pascal nimekusoma kwamba hata kama wakifa 100 at least tumetangaziwa hao kiduchu kuliko kutotangaziwa kabisa na kosa la Mbowe ni kupinga uongo.
 
Na kweli kuna siku mtaelewana Kwa sababu leo bado hujamwelewa pasco! Rudia kumsoma labda hiyo siku itafika mapema!
 
Mkuu achana na kilaza huyo.
Tuna taifa lenye watu wa ajabu sana.
Understanding ndiyo huamua maaisha na ufahamau mtu.
Elimu inatupa maarifa wa kujiwa vinavyotuzunguka ila ufahamu hutupa uwezo wa kuamua mambo yetu wenyewe.
Gifted Fool at work
Bado una a mini makaratasi ya darasani yatakupa utajiri

Maskini wa fikra, Umeclaim notes za vasco da Gama na Probability huku pesa huna, unatembea matako nje

Shame upon your father and family

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tueleze Basi hao waliokufa ni akina Nani na ni wa kutoka mikoa au mkoa upi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Pascal,ni vema ungemtafuta mh Mbowe privately ukamuuliza data amezipataje! Ingependeza zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…