FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Chama tawala ni kipi, CCM ilishinda kura kwa asilimia ngapi vile?
Au ilipigiwa kura za ushindi na wapinzani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama tawala ni kipi, CCM ilishinda kura kwa asilimia ngapi vile?
Unaweza ukajifanya umeelewa kumbe wewe ndio kiazi kwelikweliAisee wewe ndo utopolo kabsa zero brain umeshindwa kumuelewa mkuu P,kwenye content ndogo hv yaan umejaa mzma mzima kweli maccm hamnazo
Mtaani kila anayesema watu wanakufa kwa wingi na kuzikwa usiku,ukimuuliza mtu umeona?anajibu ameambiwa na mtu wake wa karibu,unamuuliza tena labda umefiwa na ndugu au jirani au rafiki huko mikoani hakuna kitu!!! Sisi waTanzania tuna maneo ya uzushi sana bila ukweli wala uhakika wowote,ugonjwa umewekewa siasa na kutengeneza maneno mitandaoni kuweka taharuki kwa watu bila ukweli wowote,inawezekana watu wengine pia waliokua wakisafiri India au London kupigwa sindano na madawa ya gharama juu magonjwa ya moyo,damu na mengineyo wanakufa kwa sababu hakuna safari hizo tena.Wanabodi,
Miongoni mwa udhaifu mkubwa kabisa wa mainstream media zetu zote za Tanzania, si TV, Redio, wala Magazeti, hatuna kitu kinachoitwa "News Analysis", yaani uchambuzi wa habari, viongozi wetu wakihutubia, media inaripoti wamesema nini, the story ends there! Hakuna any news analysis ya kuchambua alichokisema kiongozi huyo wala what does it mean, the impact ya kilichozungumzwa, na the consequences. Kazi za media zetu ni kuripoti tu kama kasuku. Angalau sisi JF, ndio angalau tunafanya uchambuzi, alichofanya Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe, ni a very good piece of news analysis ya hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa Ikulu ya Chato na update ya Corona iliyotolewa na Waziri Mkuu.
Mnyonge, mnyongeni, haki yake mpeni. Tangu kuingia kwa janga hili la Corona, sio tu hakuna kiongozi yoyote amewahi kuizungumzia Corona vizuri na kwa ufasaha kama Mhe. Freeman Mbowe, bali pia tangu nimemfahamu Mbowe na kumsikia, hajawahi kuzungumza vizuri hivi hata mara moja. Freeman, you are the best, hongera sana!
Ila sehemu moja tu ndiyo Mbowe ameharibu, kwenye idadi ya vifo vya Corona. Serikali ilishatoa waraka kuwa wasemaji wa update ya Corona kwa Tanzania ni watu 5 tu. Rais, Makamo, Waziri Mkuu na Waziri wa Afya -- then update ya Corona itatolewa na serikali tu. Sasa kama Waziri Mkuu kasema vifo vya Corona ni 16 tu, then huu ndiyo ukweli. Tanzania watu waliokufa kwa Corona mpaka sasa ninapoandika hapa, ni watu 16 tu na huu ndio ukweli wenyewe.
Kitendo cha kumuita Waziri Mkuu wa JMT kuwa ni muongo na serikali inaficha data za vifo vya Corona, huu ni uongo na uchochezi.
Kati ya Mhe. Mbowe na Waziri Mkuu wa JMT, nani ni mkweli na nani ni muongo? Watanzania wamwamini nani kati ya Waziri Mkuu wa JMT na Waziri Mkuu kivuli?
Kama serikali imesema vifo ni 16 tu, then vifo ni 16, hata kama umeshuhudia watu 100 wakizikwa na serikali kwa mazishi ya kuhudhuriwa na watu kumi tu. Ukweli wa idadi ya vifo vya Corona ni vifo 16 tu kwasababu sio kila anayekufa amekufa kwa Corona. Hata kama hao wengine wote nao pia walionesha dalili kama za Corona, mamlaka pekee inayojua mgonjwa kafa na nini, ni madaktari tu. Na kwenye case ya Corona, waliokufa kwa Corona ni watu 16 tu, hawa wengine wote wanaokufa kwa matatizo ya kupumua, hayo ni matatizo yao tu, na pia wagonjwa wa magonjwa mengine pia wanaendelea kufa, ili kuzuia mikusanyiko katika misiba, serikali imeamua kuwakinga watu wake kwa kujitolea kuwasaidia Watanzania wengine wote kwa upendo kwa kuwazikia ndugu na wapendwa wao.
Hivyo Mhe. Mbowe, asante kwa kuongea vizuri ila uache uongo na uchochezi kuisingizia serikali yetu inaficha kitu, serikali yetu ni wakweli, hawafichi kitu, waliokufa kwa Corona mpaka sasa ni hao 16 tu, na huo ndio ukweli wetu, tena ni afadhali ya sisi tumetangaza ukweli wa wote waliokufa kwa Corona nchini kwetu ni hao 16 tu; je, ungekuwa unaishi Rwanda na Uganda, kule hakuna hata mmoja aliyekufa, ungesemaje?
Watanzania wenzangu ambao ni wazalendo, naombeni tuendelee kuiaminia serikali yetu kuwa inasema ukweli wote kuhusu Corona, tusiwasikilize, waongo, wazushi, wachochezi na wachonganishi wanaotaka kuichonganisha serikali na wananchi, kwa kuwadanganya kila anayekufa, amekufa kwa Corona, japo ni kweli vifo vya ghafla vimeongezeka, ila siyo vifo vyote ni Corona. Vifo vingine ni magonjwa mengine ukiwemo matatizo ya kupumua.
Tena katika kusisitiza uzalendo, nitawaomba kuanzia saa 1:30 asubuhi nitakuwa live Star TV mgeni wangu akiwa ni Deodatus Balile wa gazeti la Jamhuri, tutasisitiza uzalendo na kuiaminia serikali na sio kuwaaminia wazushi.
Paskali
Pole sana Kwa Kukubali Kupakwa mafuta kwa Mgongo Wa chupa.Pasco hivi ulitegemea mtu aliyepata zero shuleni aongee nini cha maana tena kwa ishu ya kisayansi kama hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanabodi,

Zambarau nalo tunda!??Mti wenye matunda...
Umeshapoteza mmoja, Pasco! Hii kwa English inaitwa sarcastic, kukumweupe!Pasco hivi ulitegemea mtu aliyepata zero shuleni aongee nini cha maana tena kwa ishu ya kisayansi kama hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kweli kuna siku mtaelewana Kwa sababu leo bado hujamwelewa pasco! Rudia kumsoma labda hiyo siku itafika mapema!Paskali imani yangu ni kuwa lengo lako halikuwa kumsifia Mbowe km ulivyozungumza ktk moja ya aya za bandiko lako bali umelenga kumchongea tu kwa mamlaka zenu juu ya ukweli mchungu alioueleza kwa taarifa zinazofichwa..
Tangu awamu hii ishike kijiti umejitahidi kuiwakilisha vyema na kuipambania kwa hali na mali yako sema imekusahau na kutokuthamini mchango wako.
Amini vifo vya Corona ni vingi km alivyosema Hon Mbowe binafsi nimeshashashuhudia vifo 3 ambavyo havimo ktk idadi yenu ya 16 ndani ya wiki hii moja halafu ss naona mmeamua hadi kutumia idara yetu nyeti ya usalama kuendesha hilo zoezi la usiri..
Anyway tunaishukuru Corona kwa kweli maana imekuwa VERY FAIR yaani ingekuwa mchezaji wa mpira ingepewa sifa za CR7 maana inapiga miguu yote sio km Messi anayetumia shoto tu na mbaya zaidi mpaka sasa upande wenu mnapoteza game na mtapoteza zaidi maana mna wagonjwa wengi ktk nyumba yenu ya Kijani basi mdudu akiingia anabonyeza tu kidoooogo kitu waya...
TUTAELEWANA TU SIKU MOJA
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wewe kwenye great thinkers haupo haujamwelewa pascolPasco hivi ulitegemea mtu aliyepata zero shuleni aongee nini cha maana tena kwa ishu ya kisayansi kama hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Gifted Fool at work
Bado una a mini makaratasi ya darasani yatakupa utajiri
Maskini wa fikra, Umeclaim notes za vasco da Gama na Probability huku pesa huna, unatembea matako nje
Shame upon your father and family
Tueleze Basi hao waliokufa ni akina Nani na ni wa kutoka mikoa au mkoa upi.Paskali imani yangu ni kuwa lengo lako halikuwa kumsifia Mbowe km ulivyozungumza ktk moja ya aya za bandiko lako bali umelenga kumchongea tu kwa mamlaka zenu juu ya ukweli mchungu alioueleza kwa taarifa zinazofichwa..