Mhe. Mbowe, hongera sana. You are the best; ila acha uongo, uzushi na uchochezi. Kati yako na serikali nani mkweli? Vifo ni 16 tu

Mhe. Mbowe, hongera sana. You are the best; ila acha uongo, uzushi na uchochezi. Kati yako na serikali nani mkweli? Vifo ni 16 tu

Hivi zero na utashi wa Mtu vina uhusiano bro.
Huyo dr wa kemia bado anasema chlorine haiuwi virus pamoja na phd yake.
Kusoma darasani haimanishi mtu huyo ana uwezo wa kupambanua mambo.
Ukiona mtu ambaye hapendi majadiliano ujuwe kuwa uwezo wake wa kufikiri ni mdogo, hivyo hujihamni mapema ili kuficha udhaifu wake.
Mboye ni kiongozi makini sana, hata anapotoa speech unaona ni mtulivu.
Degree and understading ya mtu havihusiani kabisa
Pasco hivi ulitegemea mtu aliyepata zero shuleni aongee nini cha maana tena kwa ishu ya kisayansi kama hii

Sent using Jamii Forums mobile app

Achana nae, hakumuelewa Pascal, kaona title tu kakimbilia kukomenti! Ccm hawawezi kamwe Ku reason. Hio inaitwa sarcasm!
 
Corona hayupo Lumumba Tu wala hachaguwi mtaa. Alianzia Ufipa kama umesahau.

Hili ni janga la duniani si Tanzania pekee.

Ninachokiona ni upinzani unataka kutumia hili janga nkama turufu ya kisiasa. Ni ujinga Tu, Watanzania tupo macho na tunaelewa kinachoemdelea ndani na nje ya nchi.

"Corona" hazuiliwi kwa maneno.
Najua sana kama ni tatizo lá dunia mzima.

Tatizo lenu mnalichukulia hili suala ugonjwa kiudharau sana.

Nakwambia acheni jeuri na kejeli na sikilizeni ushauri mnaoshauriwa msijifanye wajuaje uwezo WA kupambana nimdogo sana.

Mlifurahi sana alipoumwa mtoto WA mbowe akiwemo yule matako bashite na wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binadamu hamna wema kabisa nyie.

Mkiambiwa wamekufa watu 16 mnaswma mnafichwa.

Mkiambiwa wamekufa watu 100 kila mmoja anasema sio kila kifo ni corona swrikali inafanya hivyo kutaka fungu lije wapige pesa,sijui pesa gani kabisa.

Muambiwe nini enyi watu.

Kwani kama wamekufa watu mia moja mkuu unadhani wewe utafaidika na nini ?

Au italeta faida gani kwa kufa watu mia faida ambayo haiwezekani kuletwa na hawa watu 16 waliotangazwa mkuu ?
Tatizo lako/lenu unapenda kushikiwa akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua sana kama ni tatizo lá dunia mzima.

Tatizo lenu mnalichukulia hili suala ugonjwa kiudharau sana.

Nakwambia acheni jeuri na kejeli na sikilizeni ushauri mnaoshauriwa msijifanye wajuaje uwezo WA kupambana nimdogo sana.

Mlifurahi sana alipoumwa mtoto WA mbowe akiwemo yule matako bashite na wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo Lenu mnadhani kuwa tatizo halijukani au halifanyiwi kazi.

Au Mme panic kwa kuwa mwanzo mwanzo mlisikia kuwa Corona yupo nyumbani kwa Mwenyekiti wa maisha?

Eleweni tu kuwa Corona yupo na ni janga la dunia na Tanzania haipo kwenye Mars.

hata nchi tajiri duniani corona katuwa majumbani kwa Wafalme na mawaziri wakuu.

Cha kufanya sasa hivi ni wote kushauriana na siyo kujidai mipasho ya "nani zaidi" au misuto ya nani kasema hivi nani kasema vile.
 
Pasco hivi ulitegemea mtu aliyepata zero shuleni aongee nini cha maana tena kwa ishu ya kisayansi kama hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Gifted Fool at work
Bado una a mini makaratasi ya darasani yatakupa utajiri

Maskini wa fikra, Umeclaim notes za vasco da Gama na Probability huku pesa huna, unatembea matako nje

Shame upon your father and family
 
Back
Top Bottom