Hivi zero na utashi wa Mtu vina uhusiano bro.
Huyo dr wa kemia bado anasema chlorine haiuwi virus pamoja na phd yake.
Kusoma darasani haimanishi mtu huyo ana uwezo wa kupambanua mambo.
Ukiona mtu ambaye hapendi majadiliano ujuwe kuwa uwezo wake wa kufikiri ni mdogo, hivyo hujihamni mapema ili kuficha udhaifu wake.
Mboye ni kiongozi makini sana, hata anapotoa speech unaona ni mtulivu.
Degree and understading ya mtu havihusiani kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app

Pasco hivi ulitegemea mtu aliyepata zero shuleni aongee nini cha maana tena kwa ishu ya kisayansi kama hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app