Mhe. Rais Magufuli alikataa rushwa wazi, watumishi walioiba wawajibishwe kumuenzi

Mhe. Rais Magufuli alikataa rushwa wazi, watumishi walioiba wawajibishwe kumuenzi

mtaongea sana ila Magu tutamkumbuka kwa mazuri kama alivyosema R.I.P my hero President
Ingependeza kama ungetumia umoja badala ya wingi, au ukitumia wingi weka kabisa neno sisi Mataga au sisi Wanyonge.
 
Hakuna ubadhirifu uliofanywa na Rais aliyepita, ubadhirifu ulifanya na viongozi wasio kuwa na maadili wakiwemo Mawaziri, makatibu wakuu na maafisa suuri wengine katika sekta mbalimbali.

Kama tunataka kumuenzi JPM Basi tuwawajibishe wanaohusika Kama ambavyo angeafanya endapo angekuwa hai.

Kuacha kuwawajibisha nikuruhusu wizi mkubwa zaidi na kisha kumtupia lawama Rais aliyepo Sasa.
Huyo JPM unamuenzi kwa lipi hasa??
 
Back
Top Bottom