Mhe. Rais Magufuli Kufufua Mmoja wa Mradi Mkubwa wa Kufua Umeme Afrika wa Stiegler's Gorge

Mhe. Rais Magufuli Kufufua Mmoja wa Mradi Mkubwa wa Kufua Umeme Afrika wa Stiegler's Gorge

tutafikatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
3,327
Reaction score
4,624
Mheshimiwa Rais wa JMT, John Pombe Joseph Magufuli, ameanza mazungumzo ya kufufua mradi mkubwa wa umeme wa maji katik bonde la mto Rufiji. Mradi huu utazalisha megawatt 2,100 na hivyo kuifanya Tanzania kuwa ni mmoja ya mataifa yanayozalisha umeme kwa wingi barani Afrika. Hongera Magufuli.

=======

Your Dedicated Source of Hydropower News | Hydro Review

Tanzanian President John Mogufuli revived talks about the 2,100-MW Stieglers Gorge hydropower project during a recent tour of the country's eastern coast.

The massive project has been on the drawing board for decades as part of Tanzania's master power plan, which envisions Stieglers Gorge helping interconnect the grids of Tanzania, Kenya, Uganda and Zambia.

The plant was, through the mid-2000s, under the development of the Rufiji Basin Development Authority (RUBADA) which announced it was seeking a partner to help finance Stieglers Gorge in August 2006.

A plan to complete the initiative in several stages was said to have been found technically and economically feasible in an independent World Bank review of the proposal, though RUBADA left the project some time before December 2010, when Brazil was reported to be in talks to construct the complex.

The project has stalled since then, though statements made by Mogufuli during a rally this week indicate the government of Tanzania is now working with Ethiopia to develop the project, per an agreement made between government officials earlier this spring.
 
Mheshimiwa Rais wa JMT, John Pombe Joseph Magufuli, ameanza mazungumzo ya kufufua mradi mkubwa wa umeme wa maji katik bonde la mto Rufiji. Mradi huu utazalisha megawatt 2,100 na hivyo kuifanya Tanzania kuwa ni mmoja ya mataifa yanayozalisha umeme kwa wingi barani Afrika. Hongera Magufuli.
Kwa hela ipi wakati hela ya makinikia bado hàtujalipwa
 
Hivi yale mabomu na virungu vilivyo tembea Lindi na Mtwara kwa kisingizio cha umeme wa gas ambao tuliaminishwa utakuwa wa bei nafuu ilikuwa siasa za CCM?

Maana naona Mh rais anarudi tena kwenye maji. Jamani nani kailoga Tanzania?
 
Kwa mradi huu,nakuunga mkono Mheshimiwa Rais
 
Hivi yale mabomu na virungu vilivyo tembea Lindi na Mtwara kwa kisingizio cha umeme wa gas ambao tuliaminishwa utakuwa wa bei nafuu ilikuwa siasa za Ccm???
Maana naona Mh rais anarudi tena kwenye maji. Jamani nani kailoga Tanzania??
Na mm huwa nawaza walisema lile bomba likifika dar tu umeme utabaki historia na tutawauzia nje, bomba limetia timu bado ufumbuzi hakuna
 
Hii ndio njia ipasayo. Nadhani ilikuwa bora kuanzisha kwanza niradi kama hii kabla ya reli ile mpya na ununizi wa ndege.
 
Hivi yale mabomu na virungu vilivyo tembea Lindi na Mtwara kwa kisingizio cha umeme wa gas ambao tuliaminishwa utakuwa wa bei nafuu ilikuwa siasa za Ccm???
Maana naona Mh rais anarudi tena kwenye maji. Jamani nani kailoga Tanzania??
Mkuu haikuwa mabomu na virungu tu, wanawake walibakwa sana tu.
 
  • Thanks
Reactions: Ftc
Viongozi wana ndoto nyingi ziwe kweli Mungu awasaidie ili mshike moja ilo moja tufanikishe maana umeme wa gesi sijui umeishia wapi mmekuja huku tena...
 
Acheni kuwa na fikra ndogo,kila siku mahitaji yanakuwa na wawekezaji wakikuta umeme sii wa uhakika wanatia comment no reliable power source.watakimbia na kubakiza storu tu hapa hiki kinafaa,hapa hiki kinafaa ila imekuwa hivi na vile.
kwa maendeleo ya sasa jukumu la serikali ni kuweka miundombinu,wawekezaji watumie fursa iliyopo,serikali ipate mapato.
 
hii ilikuwa kwenye sera za chadema 2005-2010.nashanga bawacha wanabeza!
 
All the best! Angekuwa na prioritization management hilo lingewezekana kabisa lakini dah, Magu ni kama hajui aanze na kipi amalize na kipi! Stiegler ni very expensive project ndo maana wenzake walishindwa. Sasa kufanikisha huo mradi alitakiwa kuachana na miradi isiyo na impact kubwa kiuchumi kama vile ununuzi wa ndege.
 
hii ilikuwa kwenye sera za chadema 2005-2010.nashanga bawacha wanabeza!

Watu wanabeza au wanamchora? Ahadi kibao lakini hakuna linalotimia. Milioni 50 kila kijiji mwaka jana ikawekwa mpaka kwenye bajeti, mwaka huu wala hamna kabisa. Sukari toka 1,800@kg mpaka 3,000@kg na yuko kimya, ndio ataweza huo umeme?

Yeye anachoweza ni kick za kufungia media na kukimbizana na wapinzani. Maisha yamekuwa magumu na hana suluhisho kabakiza mikwara tu.
 
Back
Top Bottom