Mhe. Rais Magufuli Kufufua Mmoja wa Mradi Mkubwa wa Kufua Umeme Afrika wa Stiegler's Gorge

Mhe. Rais Magufuli Kufufua Mmoja wa Mradi Mkubwa wa Kufua Umeme Afrika wa Stiegler's Gorge

Hakuna asiyependa kuona maendeleo shida ni pale ambapounajiuliza atapata wapi fedha za utekelezaji?

Kukopa tayari deni letu lipo kwenye taa ya njano very soon tutakuwa hatukopeshiki. Vyanzo vya ndani havitoshi labda kwa miaka mitano. Je mradi huo upo kwenye mpango wa miaka 5?

Lakini tuangalie pia kwenye gas ambapo baado tunaweza kuweka mitambo mingine kwa gharama (kulingana na uwezo wetu) na tukaongeza uzalishaji.

Huo mradi ubakie tu tukiwa tayari tuufanye. Ni kweli hydropower is the cheapest of all. Lakini tunaafanyaje wakati uwezo wetu kifedha ni mdogo
Acha kulalamika sana, Unalipa kodi na hiyo ita saidia kwa kiasi fulani kuibadilisha rangi ya taa ya njano kurudi kwenye kijani. Tuendelee kupambana tu.
 
Acha kulalamika sana, Unalipa kodi na hiyo ita saidia kwa kiasi fulani kuibadilisha rangi ya taa ya njano kurudi kwenye kijani. Tuendelee kupambana tu.
😡😡😡😡😡😡 kama hujui usiseme
 
Mheshimiwa Rais wa JMT, John Pombe Joseph Magufuli, ameanza mazungumzo ya kufufua mradi mkubwa wa umeme wa maji katik bonde la mto Rufiji. Mradi huu utazalisha megawatt 2,100 na hivyo kuifanya Tanzania kuwa ni mmoja ya mataifa yanayozalisha umeme kwa wingi barani Afrika. Hongera Magufuli.

http://www.hydroworld.com/articles/...e-hydropower-project-could-have-new-life.html

Tanzanian President John Mogufuli revived talks about the 2,100-MW Stieglers Gorge hydropower project during a recent tour of the country's eastern coast.

The massive project has been on the drawing board for decades as part of Tanzania's master power plan, which envisions Stieglers Gorge helping interconnect the grids of Tanzania, Kenya, Uganda and Zambia.

The plant was, through the mid-2000s, under the development of the Rufiji Basin Development Authority (RUBADA) which announced it was seeking a partner to help finance Stieglers Gorge in August 2006.

A plan to complete the initiative in several stages was said to have been found technically and economically feasible in an independent World Bank review of the proposal, though RUBADA left the project some time before December 2010, when Brazil was reported to be in talks to construct the complex.

The project has stalled since then, though statements made by Mogufuli during a rally this week indicate the government of Tanzania is now working with Ethiopia to develop the project, per an agreement made between government officials earlier this spring.
Hivi hela ziko wapi mbona hamtuelemishi

Hongera bila kutujuza minoti iko wapi?
 
Yani wenzetu wanaongelea jigawati sisi bado tunapongezana kwa vimegawati, bado pana safari ndefu Sana hapa
 
Back
Top Bottom