Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Anataka amalize vyote kwa pamoja.All the best! Angekuwa na prioritization management hilo lingewezekana kabisa lakini dah, Magu ni kama hajui aanze na kipi amalize na kipi! Stiegler ni very expensive project ndo maana wenzake walishindwa. Sasa kufanikisha huo mradi alitakiwa kuachana na miradi isiyo na impact kubwa kiuchumi kama vile ununuzi wa ndege.
Kubakwa ni natural maana wengine wanakutwa porini wakiwa na nguo za kiuchokozi wamejificha peke yao, waume zao wameanza mbele, askari utamwambia nn hapo, kula kichwa tu!Mkuu haikuwa mabomu na virungu tu, wanawake walibakwa sana tu.
Hongera sana Rais kwa kuanza kuchukua hatua hizo.Mheshimiwa Rais wa JMT, John Pombe Joseph Magufuli, ameanza mazungumzo ya kufufua mradi mkubwa wa umeme wa maji katik bonde la mto Rufiji. Mradi huu utazalisha megawatt 2,100 na hivyo kuifanya Tanzania kuwa ni mmoja ya mataifa yanayozalisha umeme kwa wingi barani Afrika. Hongera Magufuli.
http://www.hydroworld.com/articles/...e-hydropower-project-could-have-new-life.html
Tanzanian President John Mogufuli revived talks about the 2,100-MW Stieglers Gorge hydropower project during a recent tour of the country's eastern coast.
The massive project has been on the drawing board for decades as part of Tanzania's master power plan, which envisions Stieglers Gorge helping interconnect the grids of Tanzania, Kenya, Uganda and Zambia.
The plant was, through the mid-2000s, under the development of the Rufiji Basin Development Authority (RUBADA) which announced it was seeking a partner to help finance Stieglers Gorge in August 2006.
A plan to complete the initiative in several stages was said to have been found technically and economically feasible in an independent World Bank review of the proposal, though RUBADA left the project some time before December 2010, when Brazil was reported to be in talks to construct the complex.
The project has stalled since then, though statements made by Mogufuli during a rally this week indicate the government of Tanzania is now working with Ethiopia to develop the project, per an agreement made between government officials earlier this spring.
Mnh! Basi sawa...Anataka amalize vyote kwa pamoja.
Anafufua mradi nani alio uua mpaka Leo unafufuliwa.mnaua wenyewe mnafufua wenyewe mnataka msifiwa .tutajuaje mtauua tena !!?? Tunataka vitendoMheshimiwa Rais wa JMT, John Pombe Joseph Magufuli, ameanza mazungumzo ya kufufua mradi mkubwa wa umeme wa maji katik bonde la mto Rufiji. Mradi huu utazalisha megawatt 2,100 na hivyo kuifanya Tanzania kuwa ni mmoja ya mataifa yanayozalisha umeme kwa wingi barani Afrika. Hongera Magufuli.
http://www.hydroworld.com/articles/...e-hydropower-project-could-have-new-life.html
Tanzanian President John Mogufuli revived talks about the 2,100-MW Stieglers Gorge hydropower project during a recent tour of the country's eastern coast.
The massive project has been on the drawing board for decades as part of Tanzania's master power plan, which envisions Stieglers Gorge helping interconnect the grids of Tanzania, Kenya, Uganda and Zambia.
The plant was, through the mid-2000s, under the development of the Rufiji Basin Development Authority (RUBADA) which announced it was seeking a partner to help finance Stieglers Gorge in August 2006.
A plan to complete the initiative in several stages was said to have been found technically and economically feasible in an independent World Bank review of the proposal, though RUBADA left the project some time before December 2010, when Brazil was reported to be in talks to construct the complex.
The project has stalled since then, though statements made by Mogufuli during a rally this week indicate the government of Tanzania is now working with Ethiopia to develop the project, per an agreement made between government officials earlier this spring.
Umeme wa gesi unakwenda vyema, kuna kinyerezi 1 tayari imezinduliwa na hivi sasa tayari awamu ya pili ya kinyerezi 2 inaendelea kujengwa na kuna plans za kinyerezi 3 & 4 pia.Viongozi wana ndoto nyingi ziwe kweli Mungu awasaidie ili mshike moja ilo moja tufanikishe maana umeme wa gesi sijui umeishia wapi mmekuja huku tena...
Kama aliweza toa mabilioni "bila utaratibu" kununua ndege bila shaka anaweza pia kuitekeleza hii project(ambayo ni nzuri zaidi kuliko ndege)Sukari toka 1,800@kg mpaka 3,000@kg na yuko kimya, ndio ataweza huo umeme?
.
Kama aliweza toa mabilioni "bila utaratibu" kununua ndege bila shaka anaweza pia kuitekeleza hii project(ambayo ni nzuri zaidi kuliko ndege)
Kwa hela ipi wakati hela ya makinikia bado hàtujalipwa
Wanaoibeza CCM sio muda mrefu wata aibika.Ndio,tuna makosa yetu,lakini under comrade Magufuli CCM has a new dawn. Naomba Mungu mradi huu uanze, ili wanao ibeza CCM waumbuke. This will be a real big kick for JPM and CCM.Mheshimiwa Rais wa JMT, John Pombe Joseph Magufuli, ameanza mazungumzo ya kufufua mradi mkubwa wa umeme wa maji katik bonde la mto Rufiji. Mradi huu utazalisha megawatt 2,100 na hivyo kuifanya Tanzania kuwa ni mmoja ya mataifa yanayozalisha umeme kwa wingi barani Afrika. Hongera Magufuli.
http://www.hydroworld.com/articles/...e-hydropower-project-could-have-new-life.html
Tanzanian President John Mogufuli revived talks about the 2,100-MW Stieglers Gorge hydropower project during a recent tour of the country's eastern coast.
The massive project has been on the drawing board for decades as part of Tanzania's master power plan, which envisions Stieglers Gorge helping interconnect the grids of Tanzania, Kenya, Uganda and Zambia.
The plant was, through the mid-2000s, under the development of the Rufiji Basin Development Authority (RUBADA) which announced it was seeking a partner to help finance Stieglers Gorge in August 2006.
A plan to complete the initiative in several stages was said to have been found technically and economically feasible in an independent World Bank review of the proposal, though RUBADA left the project some time before December 2010, when Brazil was reported to be in talks to construct the complex.
The project has stalled since then, though statements made by Mogufuli during a rally this week indicate the government of Tanzania is now working with Ethiopia to develop the project, per an agreement made between government officials earlier this spring.
Kaka sio kubeza tatizo la mkuu ahadi nyingi halafu azitekelezeki,alichofanikisha yeye ni kutumbua na kuzindua tuWakenya au Malawi? Watu tuache ushabiki wa kijinga tuwe positive nga kidogo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi mwenyewe naona anaendelea powa tu....[HASHTAG]#JPM[/HASHTAG]Umeme wa gesi unakwenda vyema, kuna kinyerezi 1 tayari imezinduliwa na hivi sasa tayari awamu ya pili ya kinyerezi 2 inaendelea kujengwa na kuna plans za kinyerezi 3 & 4 pia.
Uwe una tabia ya kufuatilia mambo kwanza ndugu kabla hujaandika.
Kachunge ng'ombe kwa Ngoyayi tu weweporojo tuu let see actions not words
Mgemshauri mapema si mwenyekiti wenuHii ndio njia ipasayo. Nadhani ilikuwa bora kuanzisha kwanza niradi kama hii kabla ya reli ile mpya na ununizi wa ndege.
Wana beza maana lilishakua outdatedhii ilikuwa kwenye sera za chadema 2005-2010.nashanga bawacha wanabeza!
Positive kwa lipi maana kila siku mipango hakuns hata kimoja kimekamilikaWakenya au Malawi? Watu tuache ushabiki wa kijinga tuwe positive nga kidogo