Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu! Unammaliza Kabisa Hadi Ameshindwa Kazi!

Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu! Unammaliza Kabisa Hadi Ameshindwa Kazi!

......
Nawauliza wajameni, hivi hiki anachofanya Mhe. Lissu na wabunge wengine wa upinzani, kumsubulu Madam Spika ambaye ni mwanamke bila huruma, ni sawa kweli?!.

Kikao cha Bunge ni moja ya vikao vya Serikali vinavyozingatia kanuni na sheria kwa mujibu wa miongozo iliyowekwa.
Sidhani kama katika usimamiaji wa kanuni hizo kuna mahali panapoonesha jinsi gani inapaswa kuzingatia kanuni ipi, kiufupi wote wapo chini ya sheria "kanuni za bunge".
Hivyo mkuu dhana ya "kusulubu" inapaswa uiondoe akilini, kwa mantiki ya kwamba sheria ni msumeno hukata pande mbili.
Kawaida, KIONGOZI dhabiti anapaswa kuwa na uelewa na weledi mkubwa zaidi ya wale anaowaongoza ili kuepusha minyukano.

Kiafrika, wanawanake ni ni watu wa kubembelezwa na kuonewa huruma!, hivi hawa wabunge wa upinzani ni watu wa aina gani wasio hata na huruma kwa wanawake?!, leo ilibakia kidogo tuu madam spika angelia!, jee hiki wanachofanya ni sawa kweli?!. Ni haki?!....

Mwanamke ni mtu wa kubembelezwa si tu kwenye familia za Kiafrika, bali ni hulka ambayo wameumbwa nayo hivyo.
Sasa kwa mwanamke ambaye anapewa dhamana ya kuwa kiongozi, tena kiongozi wa Taifa lenye changamoto za siasa zenye mlengo wa kidemokrasia, anapaswa kuushinda udhaifu huo na kuonesha kuwa anaweza badala ya "KUBEBWA".
Bungeni si mahali pa "MAYAYA" kubembeleza watoto ni "platform" inayotoa mustakabali wa Taifa letu.
KAMA HANA UWEZO, BASI HAPASWI KUKIKALIA KITI CHA USPIKA, FULL STOP!!!
 
Bunge halina kazi waondoke tu watusamehe hizo kodi zetu wanazotafuna kila siku kwa kukaa bila kazi, ndio maana Zitto ameamua aende zake kigoma kufanya shughuli za chama! Shame on them! Bunge linaogopa kuisimamia serikali sasa kazi yake ninini hasa?

mbona hueleweki? kwa hiyo kina lissu wanaopambana bungeni hawana msaada, kuna kitu kinaitwa 'team work' huyo zito wako aijua? tumia kichwa badala ya masaburi
 
Mimi na Kidatu tumeelewana vizuri tu kama ifuatavyo:

Naomba katiba mpya itamke kwamba spika wa bunge ni lazima achaguliwe na wabunge. Maana nilichokiona hapa ni kwamba muhimili wa bunge haupo kabisa.

Nikamjibu hivi,

Hata ya sasa inasema hivyo na hata madam spika alichaguliwa kwa kishindo na haohao wabunge akimbwaga Mabere Marando wa chadema kwa mbali.Labda kuna kitu kingine ulikuwa unamaanisha?

Ndugu yangu akanijibu kiungwana tu,

Mkuu nilikuwa na maana kwamba ninachokiona hapo bungeni ni kwamba spika wa bunge anafanya kazi ya kuitetea serikali na chama tawala moja kwa moja bila kuona haya. Mimi ni CCM, lakini hatuwezi kujenga taifa makini kwa kuendesha bunge namna hii. Kama ni hivyo basi tuamue moja kwamba hakuna haja ya kuwa na vyama vingi. ukweli nimesikitishwa sana na huyu Makinda.

Nikamwelewa na nikaongezea hapa chini

Kuzuia hilo mkuu ni spika kutokuwa mbunge na mwanachama wa chama chochote cha siasa.Ili asiingie kwenye kamati wala caucus ya chama chochote.Bila hivyo tutaendelea kulaumu kila siku.

Wewe Josephine ukanitusi hivi:

akili za msukule.

Baada ya kukuwekea hayo majadiliano hapo juu bado unafikiri uko sawa kuniita nina akili za msukule?Sio kweli kwamba Spika huchaguliwa na wabunge hata kwa katiba ya sasa?Isome katiba hapo chini

84.-(1) Kutakuwa na Spika wa Bunge ambaye atachaguliwa na
Wabunge kutoka miongoni mwa watu ambao ni Wabunge au
wenye sifa za kuwa Wabunge; atakuwa ndiye kiongozi wa Bunge
na atawakilisha Bunge katika vyombo na vikao vingine vyote nje
ya Bunge.

Au sio kweli madam spika hakumshinga kwa kishindo Marando wa chadema kwa kura za wabunge haohao?Soma matokeo ya uchaguzi wa spika hapo chini!

Salamu wana JF,

Ule mchakato wa kumpata spika mpya ndo umeanza asubuhi hii, kwa wana JF walioko on ground na wale wanaofatilia kwenye TV tunaweza kuitumia thread hii ili kuhabarishana live news.

MATOKEO:

Kura zilizopigwa jumla ni 327
Zilizoharibika ni kura 9

Anna...kura 265....SPIKA 74.2%

Marando.....kura 53

Kama muungwana utaniomba radhi!
 
Last edited by a moderator:
Haya yote anajisababishia yeye mwenyewe badala afanye yake anafanyakazi ya CCM sasa mambo yanamwendea kombo
 
Pasco, umenitoa mbio usingizini na kwenye uchungu niliokuwa nao! asante! Nimecheka Sana! Nimecheka Sana, uzi huu ni mtamu, muziki wake ni utando mkuu wa mantiki iliyopakwa mafuta ya samli na kunyunyiziwa asali kwa mbali, na uwa waridi nyekundu ikiwa pembeni kufurahisha macho na masikio, nimepata uhondo!

Mama Makinda- ondoka sasa, huoni hao wako wanakuja mbio- shauri yako wakikamata hicho kitenge utabaki mtupu, kimbia nenda Njombe sasa!
 
Wanabodi,

Leo nimepata fursa ya kuliangalia bunge live asubuhi hii kupitia TBC-1,
Spika wa Bunge, Mhe. Anne Makinda ameshindwa kabisa kuliendesha bunge!, amepwaya sana na ameendesha kika bila confidence kabisa na mwisho wa maelezo yake, akamtaja Mhe. Tundu Lissu kama ndiye mbunge anayeongoza kwa kuleta vurugu bungeni, na Lissu aliponyanyuka kuomba muongozo wa Spika, akamvurumishia tena Spika Makombora mazito, na kama angeendela kidogo tuu!, Spika Makinda ange break down kwa machozi!. (Naamini akifika ofisini kwake, atajifungia kidogo na kuimalizia hasira yake the same way wanawake wote wanamalizaga hasira zao!.

Kwa kuzingatia sifa kuu iliyomfanya Mhe. Mama Makinda kuchaguliwa kuwa spika, huku Mhe. Tundu Lissu akiujua fika uwezo wa Madam Spika, kwanini anaendelea kumsulubisha kila apatapo fursa?!. This is not fair!.

Kwa vile Mama Makinda amepewa uspika because she is a lady, kwa uzi huu, namuomba Mhe. Tundu Lissu na wabunge wengine wa Kambi ya Upinzani, wanapokuwa na hoja za msingi, wamuaddress Madam Spika with courtesy of addressing a lady, ili ku restore confidence yake kuliendesha bunge ambapo kwa sasa, ameshindwa kabisa, amezuia hoja zote binafsi, hivyo leo bunge limekutana asubuhi tuu kwa kipindi cha maswali na majibu na kuahirishwa, natumaini kesho na keshokutwa itakuwa vivyo hivyo!, huu ni ufujaji bure wa rasilimali za Taifa!.

Nawauliza wajameni, hivi hiki anachofanya Mhe. Lissu na wabunge wengine wa upinzani, kumsubulu Madam Spika ambaye ni mwanamke bila huruma, ni sawa kweli?!.

Kiafrika, wanawanake ni ni watu wa kubembelezwa na kuonewa huruma!, hivi hawa wabunge wa upinzani ni watu wa aina gani wasio hata na huruma kwa wanawake?!, leo ilibakia kidogo tuu madam spika angelia!, jee hiki wanachofanya ni sawa kweli?!. Ni haki?!.

Nawaombeni tumtendee haki Spika wetu aendesha bunge kwa haki na kujiamini!.

Pasco.
Watumie courtesy kumuadress kama a lady wakati anaongoza chombo cha maamuzi ya nchi unamaanisha nn? yaani tu-entertain udhaifu wa mtu na matwakwa ya watu waliomuweka kwa kigezo cha u-anamke alhali hana uwezo!!!! Si sahihi na pale awamuadress mwanamke bali wanamuadress SPIKA..Kama ni kumuadress as a lady basi nadhani LISSU atatafuta mahali muafaka wataadreesiana kama LISSU na a lady.....Bungeni siyo sehemu ya Kutongoza
 
Wanabodi,

Leo nimepata fursa ya kuliangalia bunge live asubuhi hii kupitia TBC-1,
Spika wa Bunge, Mhe. Anne Makinda ameshindwa kabisa kuliendesha bunge!, amepwaya sana na ameendesha kika bila confidence kabisa na mwisho wa maelezo yake, akamtaja Mhe. Tundu Lissu kama ndiye mbunge anayeongoza kwa kuleta vurugu bungeni, na Lissu aliponyanyuka kuomba muongozo wa Spika, akamvurumishia tena Spika Makombora mazito, na kama angeendela kidogo tuu!, Spika Makinda ange break down kwa machozi!. (Naamini akifika ofisini kwake, atajifungia kidogo na kuimalizia hasira yake the same way wanawake wote wanamalizaga hasira zao!.

Kwa kuzingatia sifa kuu iliyomfanya Mhe. Mama Makinda kuchaguliwa kuwa spika, huku Mhe. Tundu Lissu akiujua fika uwezo wa Madam Spika, kwanini anaendelea kumsulubisha kila apatapo fursa?!. This is not fair!.

Kwa vile Mama Makinda amepewa uspika because she is a lady, kwa uzi huu, namuomba Mhe. Tundu Lissu na wabunge wengine wa Kambi ya Upinzani, wanapokuwa na hoja za msingi, wamuaddress Madam Spika with courtesy of addressing a lady, ili ku restore confidence yake kuliendesha bunge ambapo kwa sasa, ameshindwa kabisa, amezuia hoja zote binafsi, hivyo leo bunge limekutana asubuhi tuu kwa kipindi cha maswali na majibu na kuahirishwa, natumaini kesho na keshokutwa itakuwa vivyo hivyo!, huu ni ufujaji bure wa rasilimali za Taifa!.

Nawauliza wajameni, hivi hiki anachofanya Mhe. Lissu na wabunge wengine wa upinzani, kumsubulu Madam Spika ambaye ni mwanamke bila huruma, ni sawa kweli?!.

Kiafrika, wanawanake ni ni watu wa kubembelezwa na kuonewa huruma!, hivi hawa wabunge wa upinzani ni watu wa aina gani wasio hata na huruma kwa wanawake?!, leo ilibakia kidogo tuu madam spika angelia!, jee hiki wanachofanya ni sawa kweli?!. Ni haki?!.

Nawaombeni tumtendee haki Spika wetu aendesha bunge kwa haki na kujiamini!.

Pasco.

PASCO,,
Kama unamuonea Huruma nenda kamuoe basi,
si naskia hana bwana yule?
 
Siasa si vita ni kuwakilisha wananchi ndio maana unaona hapo anaburudika ila najua hio ilikuwa kabla ya jana Ndallo
 
Last edited by a moderator:
This is malicious thread!

1:Omba Radhi kwa kuwafanya wanawake waonekane duni

2:Ni kwa nini usiwalaumu CCM kwa kumteaua mtu dhaifu kutokana na siasa zao za mtaroni badala ya kuzingatia Weledi(professionalism) ?

3:Lissu anafanya kazi yake,na hata kama ningekua mbunge ningefanya hivyo hivyo

4😛endekeza njia mbadala maana nincahokio0na ni kwamba bunge limenyang'anywa siwa (mace).Siwa inawakilisha mamlaka na ukuu(supremacy) wa Bunge.Sasa pengine kuna external force ambayo pengine inatoka kwenye chama au kutoka executive inayoliburuza bunge na kulivuruga kama alivyofanya Oliver Cromwell kule Uingereza alipolinyang'anya Bunge(Rump Parliament) Siwa mwaka 1653.Hata madikteta wabaya duniani walitumia njia hiyo na hata vyama dhalimu kama chama cha NAZI kilifanya hivyo kule Ujerumani hata baada ya kuingia madarakani kwa ushindi wa kimbunga kama ilivyokua kwa CCM mwaka 2005 ili ku-replace ukuu wa bunge through party supremacy!
 
Asome alama za nyakati ajiuzuru wadhifa huo alio nao itamjengea heshima kwa jamii.

Ushauri wako ni mzuri lakini unawafaa watu waadilifu na wanaokerwa na uovu na umaskini wa Nchi hii lakini sio Mbunge toka CCM.
 
tatizo linazidishwa na mwanasheria wa serikari, kwa kupotosha na kupindisha hata kupinga kwa ushauri anatoa.
Mnadhimu wa serikari huyo ndiyo tatizo lingine, ni mtu mzima lakini anaonyesha uwezo wa chekechea.
Sasa spika na naibu spika na wenyeviti hao ni wale wa wa kuambiwa na wanasema vile vile walivyoagizwa bila kutafakari.
Uspika si upiga debe. Hiyo ni kazi ya hekima na busara.
Bunge la tanzania linafanya kazi ya mhimili mwingine. Hatuna bunge, ila kundi la waizi wa kodi za wananchi wa tanzania 'maskini'
 
:majani7:Eti mwanamke ni mtu wa kubembelezwa? Anabembelezwa na nani na tena akiwa wapi na kwa sabbau gani? Kama mwanadamu mwingine mwanamke akishindwa kazi anashindwa kama ambavyo mwanamume anashindwa na si kwa sababu yeye ni mwanamke. Wako wanaume ambao ni very weak katika masuala ya maamuzi. Lakini pia wako wanawake ambao ni very strong. Wanawake kama watu wazima hawabembelezwi kwani wao siyo watoto. Waambiwe kama wanapotoka na siyo kubembelezwa.
:target:
 
Wengi wanamwita Vasco Da Gama, Wengine wanamwita FastJet, Wengine wanamwita Dhaifu, Wengine wanamwita Malaika, Wengine wanamwita Dhaifu... Pamoja na majina yote hayo waliyomwita yeye alikuwa na maono na aliweza kutabiri kitakachotokea siku si nyingi, alijitahidi kuchakachua ikashindikana MWISHO wake akatamka " BORA SLAA 100 ndani ya bunge kuliko TUNDU LISU aingie bungeni"...Muungwana aliona mbali sana LAITI wangemsikiliza wasinge Install chip zenye Capacity ndogo kama za akina bi kiroboto na huyo Jiggallow...
 
Kuna kazi nyingine ambazo mtu yeyote anaweza kuzifanya ila sio SHERIA. Kaka yangu Lissu anachofanya ni kumvuruga akili Spika, matokeo yake anajikuta amepwaya na kutoka nje ya mstari kabisa. Hii inaweza mwathiri mwanamke akajikuta ameingia P...od bila kutarajia.
Mkuu mama Makinda kwa umri wake(>60 years) tayari umeshapita 'Menopause' hivyo hawezi tena kupata 'Menstrual' zaidi huwa anapata 'Flush'

Ila chamoto anakipata sana Bungeni hasa kutoka kwa wapinzani hususani Tundu Lissu!!
 
Wanabodi,

Leo nimepata fursa ya kuliangalia bunge live asubuhi hii kupitia TBC-1,
Spika wa Bunge, Mhe. Anne Makinda ameshindwa kabisa kuliendesha bunge!, amepwaya sana na ameendesha kika bila confidence kabisa na mwisho wa maelezo yake, akamtaja Mhe. Tundu Lissu kama ndiye mbunge anayeongoza kwa kuleta vurugu bungeni, na Lissu aliponyanyuka kuomba muongozo wa Spika, akamvurumishia tena Spika Makombora mazito, na kama angeendela kidogo tuu!, Spika Makinda ange break down kwa machozi!. (Naamini akifika ofisini kwake, atajifungia kidogo na kuimalizia hasira yake the same way wanawake wote wanamalizaga hasira zao!.

Kwa kuzingatia sifa kuu iliyomfanya Mhe. Mama Makinda kuchaguliwa kuwa spika, huku Mhe. Tundu Lissu akiujua fika uwezo wa Madam Spika, kwanini anaendelea kumsulubisha kila apatapo fursa?!. This is not fair!.

Kwa vile Mama Makinda amepewa uspika because she is a lady, kwa uzi huu, namuomba Mhe. Tundu Lissu na wabunge wengine wa Kambi ya Upinzani, wanapokuwa na hoja za msingi, wamuaddress Madam Spika with courtesy of addressing a lady, ili ku restore confidence yake kuliendesha bunge ambapo kwa sasa, ameshindwa kabisa, amezuia hoja zote binafsi, hivyo leo bunge limekutana asubuhi tuu kwa kipindi cha maswali na majibu na kuahirishwa, natumaini kesho na keshokutwa itakuwa vivyo hivyo!, huu ni ufujaji bure wa rasilimali za Taifa!.

Nawauliza wajameni, hivi hiki anachofanya Mhe. Lissu na wabunge wengine wa upinzani, kumsubulu Madam Spika ambaye ni mwanamke bila huruma, ni sawa kweli?!.

Kiafrika, wanawanake ni ni watu wa kubembelezwa na kuonewa huruma!, hivi hawa wabunge wa upinzani ni watu wa aina gani wasio hata na huruma kwa wanawake?!, leo ilibakia kidogo tuu madam spika angelia!, jee hiki wanachofanya ni sawa kweli?!. Ni haki?!.

Nawaombeni tumtendee haki Spika wetu aendesha bunge kwa haki na kujiamini!.

Pasco.

pasco, pasco, pasco.....what's the catch this time?

let me see...it appears huu ni mkakati wako wa kuwamaliza wapinzani wa yule "mtu wako" kuelekea 2015, right?

naona umeamua kuanza na asha rose kwa ku-exploit weaknesses za "kike" alizonazo makinda. deny it, pasco, honestly!

haya...ngoja tuone na tusubiri una mbinu gani dhidi ya membe, sitta, slaa, etc.
 
Wenzake wanachukua ukuu wa wilaya ye kashobokea usipika wacha wamtandike na hoja
mpaka aombe poo,jk hakukosea kuhusu tundu lissu ni hatari kuliko hatari yenyewe...
Go on lissu....!mbunge 1 wa CHM=Wabunge 100 wa magamba
sasa wakipewa uraisi au upm itakuwaje? watalia saana? au kutoka chumbani bila lipstick
 
kimsingi tatizo sio Mh Tundu Lissu , mh yuko sahihi kwa sababu wanamtengenezea maswali na hivyo kumpa fulsa ya kuongea mambo ya msingi , nisinge penda kumuita Mh Tundu kwamba ni msumbufu anatekeleza haki yake ya kikatiba na zaidi kama mtetezi na mwakilishi wa wananchi .Ukiongea na watu ambao hawawezi kufuga hoja lazima utaonekana msumbufu huyo ndio Tundu lisu. Jambo lingine Mh Tundu anajua anachopaswa kufanya jambo ambalo linamjengea konfidence katika kutengeneza hoja
sasa ebu angalia kilicho tokea jana na leo , hoja binafsi zote zimezuiliwa, unadhani hili nijibu sahihi kwa lililotokea? . automatically sio jibu, kwa sababu mbadala wake hauna manufaa yoyote zaidi ya kuwanyima wananchi haki ya kutetewa na wawakilishi wao . kama wananchi sisi tunge kuwa natumejiandaa ndio wakati muafaka wa kulalamikia bunge kwani bunge halitaki kusikia matatizo ya wananchi yakijadiliwa na wabunge wao! mimi hili naona ni udhaifu mkubwa wa Mh Spika maana kimsingi Dar-er -salaam tatizo la maji kubwa mno (dumu la lita 1000 linauzwa sh 15,000/= hadi 20,000/= ebu jiulize ni wananchi wangapi wanaweza kumudu hiyo gharama. hivyo huu ulikuwa wakati muafaka. Lakini angalia kilichotokea bunge haliko tayari kusikiliza jambo hili.Wananchi wa DSM mmeona? endeleeni na madumu yenu hadi hapo mkombozi mwingine atakapofika na sijui ni lini.inasemekana magari yanayosambaza maji jijini DSM ni ya wapigiwa kura sasa wataruhusu vipi hoja ijadiliwe? habari ndio hiyo Udumu MH Myika usikate tamaa yanamwisho haya.

Poleni saaaaaaaana wanaDsm imetoka hiyo Muombe Mungu Mh spika apate ufunuo afunguke mtapona.:A S 12:
 
Huyu mama kashindwa kazi kabisa! Na naibu wake ndiyo yamemshinda kabisa. Hii nchi sijui tunakwenda wapi! Kwa utaratibu huu hatufiki mbali kama nchi. Tutafakari upya mustakbali wa viongozi wetu.
 
Kuna anaitwa Nancy Pelosi ! Tatizo letu ni mfumo mbovu wa kuendesha nchi. Huyu Mama Makinda kinachomsumbua ni kuogopa vikao vya CCM jioni
 
Back
Top Bottom