Mheshimiwa Alikuwa anafanya nini hapa?

Kama Kawaida yako 😂😂😂 kwani ungesema rais samia isingeleta maana? Ila tuache chenga jamaa anazindikwa
 
Umekosa watu wa kuwaita waheshimiwa?
Kwenye chama chenu hayuko peke yake, Yuko na yule waziri wa zamani, mwanasheria, mzoa taka, naye ameweka Mambo ya ndaani ndani kabisa ya mkewe kwa tapeli mganga wa wachawi.
Now I start wondering, jamaa kasoma shule nzuri hata ng'ambo amekwenda kusoma halafu anakwenda kwa nabii wa michongo ili arudishiwe utajiri?
 
Ulozi huo. 🙌👍
 
Mjasiri haachi asili... Safi sana Kigwangala... Mwenda kwao so mtoro, akiachana na kauislamu kake akarudi nyumbani kidogo, kamsanua chalii yake kidogo...tunapona kidogo kidogo... Don't need to break the wall but we all can escape.
Mwandiko wa ajabu; lakini una ujumbe mzito ndani yake.

Wewe unao ufundi wako wa kipekee, laiti kama ungekuwa na sehemu ya kuuendeleza na utambuliwe.
Tunaona wenyewe jinsi hizi dini zilivyo geuzwa kuwa fursa; kwa nini jadi nazo zisitumike hivyo hivyo!
 
Si unajuwa Tanzania mambo mengi mpaka wananchi wanachanganyikiwa na kushindwa washike nini na waache nini.
Mada yako hii nimeiona toka ilipowekwa humu na kama ilivyo kawaida niliposoma jina la mleta mada, nikawa ninaipita bila kuifungua.
Ilivyo dumu hivi, na jinsi kichwa cha mada ulivyo kibuni, udadisi ukanisukuma niifungue.

Nimeamua kunyanyua mstari huo hapo juu, baada ya kutafakari niliyooona kwenye mada, na jinsi ilivyo wasilishwa na wewe.
Hii mada haina ushabiki ulio zoewa kutoka kwako, si wa chama wala wa mtu (kiongozi); mada ipo wazi tu kwa yeyote kuiona anavyo iona mwenyewe...,' kudos' kwa hili.

Huo mstari hapo juu, sijui kama nawe unajiona uhusika wako, nafasi yako katika huko kuwachanganya waTanzania?
 
Mimi huwa siwachanganyi Wananchi bali husema ukweli ulio wa wazi😃😃😃
 

Asilimia kubwa ya wana siasa ni washirikina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…